Kwanini ulijiita DR while Una uwezo mdogo ghorofani ?Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kuipitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Sio wa DSMKuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kuipitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Hamkuwa wote Harvad mana ni PhD mwenzioKwanini ulijiita DR while Una uwezo mdogo ghorofani ?
😁😁😁Hamkuwa wote Harvad mana ni PhD mwenzio
POLISI idhibiti misongamano isiyo ya lazima ili kuepusha maafa ya watu kukosa hewa kizembe na kujiepusha na lawama za baadaeKuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Kwa mvuto wa kisiasa wa kesi hiyo, huoni kwamba chadema ya timu Lissu wote watahudhuria kwani ambaye hatahudhuria ataitwa msaliti na anaweza kufukuzwa chama akajiunge na G55?Sio wa DSM
Wananchi wote wanaruhusiwa kuhudhuria japo sio lazima na wala JAJI hajaamrisha wananchi kwenda pale
Acha kutumia hisia kwenye mambo ya kisheriaKwa mvuto wa kisiasa wa kesi hiyo, huoni kwamba chadema ya timu Lissu wote watahudhuria kwani ambaye hatahudhuria ataitwa msaliti na anaweza kufukuzwa chama akajiunge na G55?
Kama hivyo ndivyo, huoni kwamba mamillioni ya watu yatamiminika hapo Kisutu? Si hapatatosha pamoja na viumga vya mitaa yote inayozunguka Kisutu. Shughuli za kiuchumi zitasimama maeneo mengi ya jiji la DSM nk
Mbona akina Martha Karua na wenzake wamezuiliwa?Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.bo
Unaonekana huna akiliKwani wewe unaonaje?
Uko sahihi. Vyombo vyetu wa usalama vina busara na hekima nyingi. Vitatafakari hali itakavyokuwa pale Kisutu na mitaani. Vitakapoona kuwa watu wanakanyaga hapo Kisutu na mitaani, havitampeleka Tundu Lissu mahakamani kwa sababu nyumbu wameziba barabara zote kutokea gereza la Ukonga hadi mahakama ya Kisutu. Au hakimu hatakuwepo kwa sababu ya changamoto la kiafya. Hivyo kesi itapigwa kalenda. Na siku ya kalenda itakapofika hakimu atajitoa kwenye kesi hiyo. Hivyo itapigwa kelenda tena hadi hakimu mwingine atakapopangwa. Siku ya hakimu mwingine igakapofika huyo hakimu anaweza kuanza upya kesi kuanzi pale kwa kesi kuendeshwa kwa njia yamtandao.Subiri uone! Magereza watasema wamekosa gari la kumpeleka mtuhumiwa mahakamani! Na hivyo kesi itaahirishwa na kupangiwa tena tarehe nyingine.
Huyo Dr. Mavi apuuzwe tuHuwa unasoma ulichoandika kabla ya kuki post!!???
Huna akili.Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Napendekeza na mheshimiwa mtukufu rais daktari profesa Mtume SSH ahudhurie lau ajionee mambo yanavyokenda.Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Hakuna sheria inayokataza mtu yeyote kuhudhuria kesi mahakamani.Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu.
Kwa kutumia busara zake hakimu aliruhusu wakazi wote wa Dar es Salaam kuhudhuria pale Kisutu mahakamani wakipenda. Hii ni amri ya mahakama. Polisi wanalazimika kuitii bila shurri. Hata kama mamillioni ya wakazi wa DSM watamiminika pale, wakakanyagana, wakamaliza hewa na kuambukizana magonjwa, polisi hawatakiwi kufanya cho chote kwani ni amri ya hakimu iliyoongozwa na busara zake.
Let's be tuned for what's ago ne happen tomorrow at Kisutu.
Kumbe Sio upstairs tena ni ghorofani 😄?Kwanini ulijiita DR while Una uwezo mdogo ghorofani ?