Bush stars na Born Town first eleven.....

Bush stars na Born Town first eleven.....

Eeh bwana ilikuwa hatari sana.
Mimi nilikuwa napenda yale madongo wanayopeana wakati wa game.
Wa vijijini wakiwatuhumu wa mjini kuwa ni warembo/walaini kama watoto wa kike, wa mjini wakiwatuhumu wa vijijini wachafu na ushamba wao.
Bila kusahau mazoezi makali ya Bush Stars....daah!
Nakumbuka walikuwa na zoezi moja hivi unapanda juu ya mteremko alafu unaserereka na kichwa kwenye mawe yaliyoko chini
 
Mapung'o japo alikua ni mtu wa bata sana.. Jamaa alikua hatari sana mbele ya goli.. Nakumbuka aliwahi kusajiliwa uarabuni kutokana na uwezo wake uwanjani.
MAPUNG'O hakuwa kwenye SANI alikuwa kwenye Gazeti la Bongo ....(?) ambalo lilikopi vitu vingi vya SANI baada ya SANI KUPOTEA MTAANI ....MSHAMBULIAJI HATARI wa kwenye SANI alikuwa MZEE Meko ....peke yake ndiyo alikuwa anavaa shati kati ya wachezaji Bush Stars na Ukimuondoa Golikipa MADENGE
 
kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi...
mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars
na mtangazaji sukununu...

bUSH stars.. Madenge, Kobelo, Mzee Meko, Kizibao, Zoba,Huihui,kipepe
bORN... Wakina Bob MAZISHI, Lodilofa, Ndumilakwili,
 
Nimependa ukurasa huu ila watu wanarukaruka tu jamani si mpange hizo first eleven tuzikumbukee etiii
 
DAAAAAH!! Hapo nakumbuka kitambo, hayo majarida yalinifanya nijue kusoma haraka, kipindi hicho nilikua na rafik yangu anaitwa SIMON...
NAKUMBUKA NA JARIDA LA KISIKI CHA MPINGO NA CHONJOLICHONYA
 
0d125d13d5e107b766564cb523b1fdf4.jpg
 
Back
Top Bottom