upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,078
- 4,504
Mapung'o alicheza hadi Chelsea kama sijakosea afu njumu zikawa zinamshinda.mmmh mi nakumbuka kitintale...mayuku....ila hawa hawakuwa wachezaji!mchezji namkumbuka golden boy mapung'o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapung'o alicheza hadi Chelsea kama sijakosea afu njumu zikawa zinamshinda.mmmh mi nakumbuka kitintale...mayuku....ila hawa hawakuwa wachezaji!mchezji namkumbuka golden boy mapung'o
Mapung'o alicheza hadi Chelsea kama sijakosea afu njumu zikawa zinamshinda.
Ha ha haa mbona mimi hujaniita dada? Unampendelea tuu everlenk hamna shidaa..
Mkuu humwonagi nifah? Huyo ni mtoto wa wenger walioshindi kombe la sahani na mechi yao ya EPL iliyopita dhid ya chelbus walifungwa na timu ya refa fc aka mike dean...
Jana pia wamefungwa..
Ha ha ha ngoja nikajifiche kwanza
Wewe ni chibokooo!!! Maneno yote yamekutoka!!!!
Niliamua kumaliza kila kitu kabla haujaja ha ha ha
Pimbi ndio alikuwa kiboko mzee, alikua anapenda sana mademu lakini hakuwahi fanikiwa kula tunda, isitoshe alikua anapenda wale warefu kumzidi yeye.Enzi za mwalimu watu na vipaji vyao! Madenge na Pimbi walitufurahisha sana enzi hizo! Gazeti la uhuru vileee??😇
HahahAha siku mingi sana kina sokomoko, Lodilofa,Madenge, mzee Meko........hivi DrLove Pimbi naye alikuwa anacheza au yeye na mademu tu?
Kunya boga ..
ugomvi betina na .......?
Sina uhakika kama kuna maktaba Tanzania ambayo ukienda unaweza ukapata haya machapisho pamoja na mengine ya nyakati hizo!
Ukweli ni kwamba huenda vizazi vijavyo vikashindwa kujua kama walikuwepo wasanii na wachoraji ngoli waliowahi kuishi katika ardhi hii ya Tanzania.
mapung'o alienda kukipiga ulaya
Superstar wa bushstar alikua ni mapungo..mzee wa vibaiskeli.
CHEPE.....alikuwa hatari sana kwa mashuti na tik tak...............kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi...
mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars
na mtangazaji sukununu...