Mmenikumbusha 1985-90. Nilikuwa SM penzi hizo. Std 1 nasoma magazeti balaa, sani, mzalendo, mfanyakazi, na Mwenge lilikuwa linatolewa na Peramiho publisher. Basi kuna kijiwe flan cha fundi Kushona aliwezanunua hayo magazeti lkn kusoma shida. Basi nilikuwa nawasomea kwa sauti HD raha. Wanatuliaaaa!! Wakaniita Madenge kwa kuwa Nina chogo. Sani lilikuwa na nguvu sana.