Bush stars na Born Town first eleven.....

Bush stars na Born Town first eleven.....

Mmenikumbusha 1985-90. Nilikuwa SM penzi hizo. Std 1 nasoma magazeti balaa, sani, mzalendo, mfanyakazi, na Mwenge lilikuwa linatolewa na Peramiho publisher. Basi kuna kijiwe flan cha fundi Kushona aliwezanunua hayo magazeti lkn kusoma shida. Basi nilikuwa nawasomea kwa sauti HD raha. Wanatuliaaaa!! Wakaniita Madenge kwa kuwa Nina chogo. Sani lilikuwa na nguvu sana.
 
Du nakumbuka mazoezi ya bush star..kung'oa visiki kwa vichwa hiyo ni baada ya kupoteza mechi ya awali
 
Yaani ulikuwa unasoma story kwenye gazeti halafu unapata picha kama unawaona vile..
 
Back
Top Bottom