Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
kipepe alikua bush star
Ilichukua muda mrefu sana kutaka kujua jinsia ya Kipepe aiseeee....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipepe alikua bush star
kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi...
mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars
na mtangazaji sukununu...
Nakumbuka matizi ya bush stars chininya maji na trip yao ya kwnda kucheza na real madrid,
Madenge kweli kiboko aiseeee....
Eeh bwana ilikuwa hatari sana.
Mimi nilikuwa napenda yale madongo wanayopeana wakati wa game.
Wa vijijini wakiwatuhumu wa mjini kuwa ni warembo/walaini kama watoto wa kike, wa mjini wakiwatuhumu wa vijijini wachafu na ushamba wao.
Bila kusahau mazoezi makali ya Bush Stars....daah!
Ilichukua muda mrefu sana kutaka kujua jinsia ya Kipepe aiseeee....!!
Hii ni madenge new version kwenye magazeti, yule wa kipindi kile kwenye toleo la Sani alikuwa machachari mnoo.
Kumbe na wewe ni wa kale kama mie, mi nilijua ni mmoja wa wale wavaa milegezo looh.
Wakati huo nikitoka kazini Sani ndo ilikuwa burudisho langu hasa hadithi ya Obi ngumi kati ya Zena na Betina. Nikimaliza kusoma nasikitika mahoka na pwagu na pwaguzi.
Bila kumsahau chakubanga wa gazeti la uhuru.
Hapa leo imebidi hawa vijana walio zaliwa kipindi cha vidonge na sindano wasipite karibu aiseeee......
nakumbuka nimeanza kulisoma gazeti la sani miaka ya 80's ya kati, hahaahaaaa.....
Mkuu mbona mimi ni wa 90's lakini niko na nyie hapa?
Napenda kujisomea,haijalishi umri katika mambo kama haya.
Ilichukua muda mrefu sana kutaka kujua jinsia ya Kipepe aiseeee....!!
alikuwa jinsia gani mkuu?
alikuwa jinsia gani mkuu?