Business Advice

Business Advice

Oby One

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
21
Reaction score
10
Habari zenu wana jamii. Nimekua nikitafuta fund kwa muda mrefu nikabahatika kukutana na kampuni ya SYRIA inayojulikana kwa jina la (HAROUN HOLDING COMPANY) C.E.O wa kampuni hii amejitambulisha kwangu kwa jina la E.H Haroun al Assad. Baada ya mazungumzo nae akanitaka nimtumie business plan ili aweze kuni fund , baada ya kumtumia alinijulisha kua ameamua ku fund hiyo project yangu kulingana na masharti aliyo nipa. Baada ya hapo akaniuliza kama nipo tayari kufuata masharti niwasiliane na mwanasheri ambaye ni Managing partner wao. Alinitambulisha kuwa jina la mwanasheria huyo ni Dr Nahel Al Masree esq. Baada ya kuwasiliana na huyo lawyer akanitaka nimtumie personal information zangu pamoja na adress yangu na Id ndio aweze kunijulisha cha kufanya. SASA NDUGU ZANGU mimi bado sina imani na hawa jamaa kama ni matapeli au hivyo nashindwa kuwatumia maelezo yangu binafsi. SWALI NI JE kuna mtu yeyote hapa anajua kuhusu hiyo kampuni H.H.C? Naombeni msaada
 
Siku hizi kuna makampuni mengi sana ya utapeli,pia kwa arabuni inawezekana wakawa wa ukweli lakini sina uhakika sana na syria kutokana na matatizo waliyokuwa nayo sasa wanaweza ku fund mtu..nachojua mimi wengi wao wanaitaji msaada...mimi nime base hapa dubai nina rafiki zangu wengi wa syria nawezanikafuatilia nipe mawasiliano yao +971504374387 dubai...fuatilia
 
Nakushukuru sana kiongozi kwa kuonesha sapoti kubwa. Hata mimi nimejikuta nikipoteza imani kulingana na hali halisi ya Syria kwa sasa. Wenyewe wamekubali kunipa dola laki moja(U$100,000) ambazo nitarudisha kwa kipindi cha miaka 10 kwa rate ya 5%
MAWASILIANO YAO NI
H.E. Haroun al Assad( MD/C.E.O)
Haroun Holding Company
Aboue Rumench, Rawda Square
Abdel Kader Al Jazairi st Bldg No12
P.O.BOX 33184
Damascus,Syria Phone:+963113343821, Email: hhcsyria@arabs.com Web: Haroun Holding Company
ANUANI YA MWANASHERIA WAO NI
DR Nahel Al Masree esq (Managing Partner)
Nahel Al Masree Law Fim
Maza- Filat Garbia, Damascus Syria. EMAIL: nahelalmasreeesq@gmail.com NASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WAKO
 
Kaka tumeongea na huyo bwana kwa simu lakini anasema hana hiyo kampuni jaribu kuwasiliana nae tena
 
Mkuu wenye kampuni ulikutanao ki vipi? Via internet ama wapi? Sikushauri kutuma personal details sabau Identity Theft imekithiri sana siku hizi. Take time kuendelea kuchunguza. Kama vipi nenda ubalozi wao hapa Tz. Better safe than sorry mkuu. Be careful
 
Utaliwa hamna hela ya rahisi hapa duniani kote
 
Thanks all kwa ushauri wenu mzuri. Yah, itakua vizuri kama nikiwasiliana na ubalozi wao before any decision.
 
Ikitaka kula lazima ukubali na wewe kuliwa - JK

Lakini hii sio hivyo, hauta kaa ule!!

Next step ndo unaanza kuliwa! Unaweza kuambiwa utume pesa za kuprocess mkopo au inabidi udeposite pesa kwenye account yao ili waweze kuverify your ID.Watakuja na sababu mbali mbali ili waweze kutimiza nia yao.
Kama kwenye business plan yako inaonyesha una capital ya kiasi gani, hii ikishindikana tegemea kupata emails mbali mbali kama umeshinda lottery ambayo ujawai kucheza au mlimbwende huko Rasia kakuzimia..
 
Hawa jamaa kama ni matapeli wametisha maana hawafanani na matapeli wengine ambao tumesha wazoea. Kwanza sijawahi kupata spam au email zozote zisizoeleweka. Pili hawana haraka huu sasa ni mwezi wa3 kwanzia nipoanza proses wapo makini mbaya!
 
Lakini kaka husikate tamaa ebu jaribu kutafuta ubalozi wao kama haupo hapo tz...nenda kwe ubalozi wa uae au nchi yoyote ya arabuni...maana sasa baada ya arab revolution watu wengi wanatorosha pesa zao nje ya nchi zao kwa kuziwekeza kwa njia hiyo...kama nilivyokwambia hapa dubai nina marafiki wengi sana wa syria na ilo jina la huyo bwana al asad ni familia ya kitajiri sana syria wametawala nchi ile kwa takribani miaka 35,na sasa familia hiyo inaelekea kuanguka so it can be a way to keep their money safe out of syria...jaribu kufuatilia,hawa waarab nimeishi nao hapa dubai zaidi ya miaka 6 nawajua...kuna siku miaka ya nyuma nilipokuwa mgeni 2006 nilikuwa nafanya kazi kwenye hotel moja kubwa ya kitalii..kuna bwana mmoja al asad family alikuja hotelini kwetu...siku alipo check out aliacha sehemu ya kuwekea pesa (safe)ikiwa imefungwa,baada ya kuifungua tulikuta $40000 tulipotafuta contact zake ni kumpigia simu alikataa akasema hakumbuki...imagine!!!!mtu hakumbuki kuwa amesahau zaidi ya 60ml za bongo !!!!!sasa nakwambia fuatilia..mpe contact zako..na hawa waarabu wanaamini sana katika kutoa the power of giving +971504374387 dubai...naomba nikupe story yangu..siku moja nilikuwa tz nikaamua kutafuta kazi online kuna kampuni moja dubai wakanitumia ticket na visa bila hata ya interview waliniomba passport tu !!!!baba yangu na watu wengine wakasema haiwezekani kupata ki urahisi hivyo..lakini nikaamua kuja nilipofika airport nilikuta watu wakiwa na bango lenye jina langu na ndivyo nilivyoanza jaribu!!!!
 
Sorry..nadhani hao jamaa hawatapenda wakijua umekwenda ubalozini kuulizia mambo yao...maana kama nilivyosema al asad family is going to collapse na inawezekana hiyo ni njia wanayotumia kuwekeza pesa zao in a safe way...maana ata wakiweka kwenye bank pesa zao hazitakuwa safe kama ilivyokuwa kwa ghadaffi,hussein mubarak na ben ali...jaribu
 
Lakini kaka husikate tamaa ebu jaribu kutafuta ubalozi wao kama haupo hapo tz...nenda kwe ubalozi wa uae au nchi yoyote ya arabuni...maana sasa baada ya arab revolution watu wengi wanatorosha pesa zao nje ya nchi zao kwa kuziwekeza kwa njia hiyo...kama nilivyokwambia hapa dubai nina marafiki wengi sana wa syria na ilo jina la huyo bwana al asad ni familia ya kitajiri sana syria wametawala nchi ile kwa takribani miaka 35,na sasa familia hiyo inaelekea kuanguka so it can be a way to keep their money safe out of syria...jaribu kufuatilia,hawa waarab nimeishi nao hapa dubai zaidi ya miaka 6 nawajua...kuna siku miaka ya nyuma nilipokuwa mgeni 2006 nilikuwa nafanya kazi kwenye hotel moja kubwa ya kitalii..kuna bwana mmoja al asad family alikuja hotelini kwetu...siku alipo check out aliacha sehemu ya kuwekea pesa (safe)ikiwa imefungwa,baada ya kuifungua tulikuta $40000 tulipotafuta contact zake ni kumpigia simu alikataa akasema hakumbuki...imagine!!!!mtu hakumbuki kuwa amesahau zaidi ya 60ml za bongo !!!!!sasa nakwambia fuatilia..mpe contact zako..na hawa waarabu wanaamini sana katika kutoa the power of giving +971504374387 dubai...naomba nikupe story yangu..siku moja nilikuwa tz nikaamua kutafuta kazi online kuna kampuni moja dubai wakanitumia ticket na visa bila hata ya interview waliniomba passport tu !!!!baba yangu na watu wengine wakasema haiwezekani kupata ki urahisi hivyo..lakini nikaamua kuja nilipofika airport nilikuta watu wakiwa na bango lenye jina langu na ndivyo nilivyoanza jaribu!!!!

hongera sana kwa kupata kazi kirahisi sana. wengine wanasaga mguu mpaka wanapasuka machacha.
 
hongera sana kwa kupata kazi kirahisi sana. wengine wanasaga mguu mpaka wanapasuka machacha.
Kinachofanyika hapa ni kama cheusi chekundu.
Huu uzi umekaa zaidi kiadvertisment
 
We jaribu kaka...mi naamini yawezakuwa deal nzuri cha muhimu hawajakuitisha pesa..endelea nao..ila fanya haraka al assad's family will collapse very soon..jaribu
 
Duh akili kumukichwa hapaaa...chezeaa al assad's family weweeehh..:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Mkeshahoi, sio gmail.com tu ila kuna website na webmail pia hapo
 
Sikia wewe,
Search kwenye google kwanza kuhusu hiyo mail na address yao.
Ukikuta watu wengi wametumiwa kama yako na wametoa tahadhali ya wizi achana nao.
Good luck
 
Kwa sababu hawajakudai fedha sionI ubaya kuendelea nao ila km huyo lawyer atakudai fees ujue hapo ndipo utapeli wenyewe ulipo
 
Back
Top Bottom