Business Insider: Tanzania Inaelekea kuwa kivutio na kitovu cha Uwekezaji Duniani

Utafukiaje na umeshazika matilioni? Taahira kama wewe ndio unaweza fanya huo utaahira.
Matusi ya nini, miradi aliyoanzisha ni gaidi unashobokea ya nini?

Achana nayo alikuwa gaidi na hiyo mradi kapora pesa za watu kuanzisha, huoni aibu kuendeleza pesa za wizi?
 
Kwani pesa inayotumika ni ya wizi? Pili kwani ni miradi ya familia ya Mwendazake?
 
Wazo na uthubutu wa kuanzisha hiyo miradi yalikuwa ya gaidi na muuaji?

Kwanini uendeleze miradi aliyoanzisha gaidi?
 
Hayo mawazo na uthubutu umekuwapo.toka uhuru hakuna jipya exceptional hapo..

Hayo yote ni mawazo na Mipango aliikuta akaanzisha na Sasa wanafanya wengine..

Wazo au mradi wake kama yeye ni upi? Jibu ni hakuna.

Bora Samia amekuja na BBT ya vijana Haijawahi kuwepo popote kabla..
 
Akili hauna
 
Mafanikio hayo si haba. Bado tunayo kazi kubwa mbele yetu angalao kubadili mwelekeo kufikia hatua ya uwekezaji mkubwa zaidi katika kilimo, viwanda na utalii.
 
Soma hapa 👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…