Business Partner wa Mchengerwa aula uteuzi! Tunagawa vyeo mpaka kwa marafiki na hakuna kitu mtafanya!

Wakuu,

Bi mkubwa kashaona Watanganyika tumeishiwa pawa, ni mwendo wa kula tu na ndugu na marafiki na hajari rorote. Business parter wa Mchengerwa naye amepewa asante ya uteuzi. Sijui itakuwa alifanya kazi gani ya kupewa zawadi?!🌚🌚

Baada ya wanahisa wengine kuongezeka, Mchengerwa akatuchezea mchezo, eti akaziba jina lake, la mdogo wake nalo likapotea, afu braza Emma akaingia hapo - ili tuone kuwa Mkwe hamiliki karibu hisa zote wakati ni geresha tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ msitufanye watu wajinga bana🌚🌚

Halafu huyu bwana yupo bodi ya wakurugenzi ya Crown, huku Mkwe kamvuta ili kutuzuga kuwa yeye sio mwanahisa pekee wa Rufiji FM... hii inamaanisha Boss wa Crown ni nani?🌚 Sitawaambia kila kitu banaaaa
View attachment 3541274

Anyhu, mama anatosha, amani tuliyoichagua itawale😌😌

View attachment 3541275
Hongera sana kwa kuiweka hii habari jukwaani.

Risiti inatunzwa, tutaelewana tu.
 
Faki zati bichi.
 
Ni wakati wao kuiba, mama yao yupo kwenye kiti. Walimuua Jiwe ili waibe.
Huyu mama kiukweli kawekwa kimkakati ili watu waibe. Kutakuwa na kashfa kibao baada ya utawala wa huyu mama.
 
Wakuu,

Bi mkubwa kashaona Watanganyika tumeishiwa pawa, ni mwendo wa kula tu na ndugu na marafiki na hajari rorote. Business parter wa Mchengerwa naye amepewa asante ya uteuzi. Sijui itakuwa alifanya kazi gani ya kupewa zawadi?!🌚🌚

Baada ya wanahisa wengine kuongezeka, Mchengerwa akatuchezea mchezo, eti akaziba jina lake, la mdogo wake nalo likapotea, afu braza Emma akaingia hapo - ili tuone kuwa Mkwe hamiliki karibu hisa zote wakati ni geresha tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ msitufanye watu wajinga bana🌚🌚

Halafu huyu bwana yupo bodi ya wakurugenzi ya Crown, huku Mkwe kamvuta ili kutuzuga kuwa yeye sio mwanahisa pekee wa Rufiji FM... hii inamaanisha Boss wa Crown ni nani?🌚 Sitawaambia kila kitu banaaaa
View attachment 3541274

Anyhu, mama anatosha, amani tuliyoichagua itawale😌😌

View attachment 3541275
Huo uhamisho wa hisa ni kazi ya kimafia. Yaani issued and unissued shares za Rufiji Media Holdings Limited zikawekwa chini ya umbrella ya Crown Elevate Limited. Halafu Rufiji Media Holdings Limited (now a shell company) ikamilikishwa 37% ya shares za Crown Elevate Limited. Obviously, kusudi pekee la hii arrangement lilikuwa kuficha the Mchengerwa’s 37% ownership of Crown Elevate Limited. Faki these sons of a bitch!
 
Sasa hivi wanaficha mali zao baada ya kuona moto wa Mo29
 
1.
Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha (x2)

2.
Chemchem ya furaha amani nipe tumaini
Kila mara niwe kwako nikiburudika
Nakupenda sana hata nikakusitiri
Nitalalamika kukuacha Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha (x2)

3.
Nchi yenye azimio lenye tumaini
Ndiwe peke yako mwanga wa Watanzania
Ninakuthamini hadharani na moyoni
Unilinde name nikulinde hata kufa....
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi, Nyerere ameukomesha (x2)
 
Kwa hiyo King Kiba hana hata 0.1% ya hisa za Crown?
Washereheshaji tu mkuu wa sisiemu hawa 😁

Wanatumiwa kwa kila kitu kuanzia kubeba ngada hadi majina yao kutika assets za kifisadi, yani la saba aendeshe au kumiliki taasisi ya kisomi na kuajiri watu bila fisadi kumtumia? Sio bongo hawa kazi yao kulamba lips, kukata viuno na kusifia wenye mpunga wapate makombo maisha yaendelee
 
Huyu mkwe alipoingia tu wizarani hii ndio ilikuwa dili yake..kucontrol madawa na vifaa tiba.....haya kiko wapi?..huyu mama na watu wake ni wezi sana...kukosa uzalendo kwa hali ya juu..inasikitisha sana....alafu oooh nchi ina vyombo vya ulinzi na usalama kweli?....mtu anafanya ushenzi waziwazi watu wanamuangalia tu...ukihoji wanasema wewe chadema ..wanakuteka ...Fucken stupid..kila mtu ashinde mechi zake...
 
Wakuu,

Bi mkubwa kashaona Watanganyika tumeishiwa pawa, ni mwendo wa kula tu na ndugu na marafiki na hajari rorote. Business parter wa Mchengerwa naye amepewa asante ya uteuzi. Sijui itakuwa alifanya kazi gani ya kupewa zawadi?!🌚🌚

Baada ya wanahisa wengine kuongezeka, Mchengerwa akatuchezea mchezo, eti akaziba jina lake, la mdogo wake nalo likapotea, afu braza Emma akaingia hapo - ili tuone kuwa Mkwe hamiliki karibu hisa zote wakati ni geresha tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ msitufanye watu wajinga bana🌚🌚

Halafu huyu bwana yupo bodi ya wakurugenzi ya Crown, huku Mkwe kamvuta ili kutuzuga kuwa yeye sio mwanahisa pekee wa Rufiji FM... hii inamaanisha Boss wa Crown ni nani?🌚 Sitawaambia kila kitu banaaaa
View attachment 3541274

Anyhu, mama anatosha, amani tuliyoichagua itawale😌😌

View attachment 3541275
Banana republic!
 
.........Maisha matamuuuu Mohamed Mchengerwa hata husemiiiiiii.....
Kuna msanii gani sijui nilisikia anaimba hivi kwenye bus
 
Tafuteni KONEKSHENI acheni kulia lia hapa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, bado yule mlisha chakula cha mbwa kuwa mkuu wa wilaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom