Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Magu alikuwa anaweka washikaji zake lakini sio kwa spidi hii ya 2026. 😂😂😂
The guy is a foot soldier..Kwa hiyo King Kiba hana hata 0.1% ya hisa za Crown?
Hakuna kashfa itazidi Ile ya trillion 2 kupotea na kuwapa waturuki kujenga sgr badala ya wachina na waturuki kwenda kukopa kwa wachina hela za kujenga sgrNi wakati wao kuiba, mama yao yupo kwenye kiti. Walimuua Jiwe ili waibe.
Huyu mama kiukweli kawekwa kimkakati ili watu waibe. Kutakuwa na kashfa kibao baada ya utawala wa huyu mama.
Hakuna kashfa itazidi Ile ya trillion 2 kupotea na kuwapa waturuki kujenga sgr badala ya wachina na waturuki kwenda kukopa kwa wachina hela za kujenga sgr
Hatariiiiidaahhh
FafanuaHakuna kashfa itazidi Ile ya trillion 2 kupotea na kuwapa waturuki kujenga sgr badala ya wachina na waturuki kwenda kukopa kwa wachina hela za kujenga sgr
Woyeeeee!!!!!!CCM oyeeee?
Sasa wewe si CCM, kwa hiyo CCM nako mmeanza uislam na ukristo? Maana chama chenu si kimoja. Hapa wanaongelea huyu mama mwizi wewe unaleta what-aboutism!!!Hakuna kashfa itazidi Ile ya trillion 2 kupotea na kuwapa waturuki kujenga sgr badala ya wachina na waturuki kwenda kukopa kwa wachina hela za kujenga sgr
Rorote??? Kiswahili au kiha?Wakuu,
Bi mkubwa kashaona Watanganyika tumeishiwa pawa, ni mwendo wa kula tu na ndugu na marafiki na hajari rorote. Business parter wa Mchengerwa naye amepewa asante ya uteuzi. Sijui itakuwa alifanya kazi gani ya kupewa zawadi?!🌚🌚
Baada ya wanahisa wengine kuongezeka, Mchengerwa akatuchezea mchezo, eti akaziba jina lake, la mdogo wake nalo likapotea, afu braza Emma akaingia hapo - ili tuone kuwa Mkwe hamiliki karibu hisa zote wakati ni geresha tu😂😂😂🤣 msitufanye watu wajinga bana🌚🌚
Halafu huyu bwana yupo bodi ya wakurugenzi ya Crown, huku Mkwe kamvuta ili kutuzuga kuwa yeye sio mwanahisa pekee wa Rufiji FM... hii inamaanisha Boss wa Crown ni nani?🌚 Sitawaambia kila kitu banaaaa
View attachment 3541274
Anyhu, mama anatosha, amani tuliyoichagua itawale😌😌
View attachment 3541275
Utanzania ni laanaHakuna kashfa itazidi Ile ya trillion 2 kupotea na kuwapa waturuki kujenga sgr badala ya wachina na waturuki kwenda kukopa kwa wachina hela za kujenga sgr
What-aboutism!!?..hizo trillion 2 zisizojulikana zilipo hazikuibiwa?.. huyu mama kaiba nini!?..Sasa wewe si CCM, kwa hiyo CCM nako mmeanza uislam na ukristo? Maana chama chenu si kimoja. Hapa wanaongelea huyu mama mwizi wewe unaleta what-aboutism!!!
Mpigie prof AssadFafanua
Nani na nani kawaweka vitengo nyeti!?..hivi unajua magu aliweka ndugu zake wangapi serikalini?..nishati,hazina etcKashfa zitakuwa nyingi baada ya huyu mama kutoka, fikiria kuweka familia yote serikalini vitengo nyeti.
2030 kula mpatiga hapigi...?Woyeeeee!!!!!!