Bustani zote kuwekwa Wi-Fi ili vijana wetu watumie kwenye shughuli zao za kielimu na ajira pia

Sasa ndio mtumie fursa hiyo kujifunza vitu vya kujenga, ila kwa asili yenu ya wizi na utapeli mtajifunza wizi /ulaghai wa kwenye mitandao na sitashangaa soon mkiwapiku wanigeria kwenye wizi wa kwenye mitandao.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa uelewa wangu finyu najua kazi mtaani ni kuzoa taka na kufyeka majani pembeni mwa barabara kama wafanyavyo Tanroads, pia kutengeneza Park areas maeneo ya mabanda, nitafutie kibarua basi jirani?

Hustler ndio alipatia slogan yake ya wilbaro kutokana na hiyo kazi mtaani ilioanzishwa na uhuru lakini mnamsulubisha utafikiri kaleta dini mpya ya makafiri

Sio kila mtu anapaswa kufanya hizo kazi zako, wengine wanapaswa kufanya za kutumia ubongo, wewe endelea kuzibua vyoo.
Jifunze English uongeze upeo wako.
 
Nchi ya watu wasiokua na elimu na maskini kama kwenu huko hamtaelewa hili, upeo wako umeishia kwenye hilo la kuzibua vyoo.
angalia namna unavyojenga hoja,kama mbuzi yaani,[emoji38][emoji38].
 
Sio kila mtu anapaswa kufanya hizo kazi zako, wengine wanapaswa kufanya za kutumia ubongo, wewe endelea kuzibua vyoo.
Jifunze English uongeze upeo wako.
mbona unajua english na bado kichwa yako ni duni sana!!!
shida ni chakula ama maradhi ya utotoni??
 
Sasa ndio mtumie fursa hiyo kujifunza vitu vya kujenga, ila kwa asili yenu ya wizi na utapeli mtajifunza wizi /ulaghai wa kwenye mitandao na sitashangaa soon mkiwapiku wanigeria kwenye wizi wa kwenye mitandao.

Sasa hivi Kenya ndio inaongoza ukanda huu kwa masuala ya kitaalamu na startups nyingi, yaani free WiFi vijana wetu wataendelea kubuni mambo, unampa laptop tu anashinda pale bustani akifanya makubwa, kwa kweli hii imenipa raha sana...Mungu ibariki nchi yetu.

Uzuri vijana wetu wanajua English...
 
Sio kila mtu anapaswa kufanya hizo kazi zako, wengine wanapaswa kufanya za kutumia ubongo, wewe endelea kuzibua vyoo.
Jifunze English uongeze upeo wako.
Huyu wa ze ze ze ze mbona ana pesa kuliko serikali yenu?

Nakumbuka TTCL walifunga free WiFi kwenye vituo vyote vikubwa vya daladala Dar, wakaondoa baada ya kuona hamna watumiaji
unajua ni Watanzania wachache sana wanaomiliki smartphone(s)... laptop ndio kabisa hata usiseme.... so usiwalaumu sana TTCL, walijua wanadeal na mamburula
 
Kuwa na pesa bila kujua kingereza unakua kama zezeta fualni hivi...
Kama kazipata bila English atazitumia bila English vile vile sababu inaonesha English haina mchango wowote kwenye pesa zake sa iweje kwenye matumizi iwe muhimu?
 
Sasa hapo ndio mtihani una hela lakini haujui English, unaishia kuwa mtu wa ze ze ze...hehehe yaani kitu ambacho hauwezi ukakinunua, lazima usome la sivyo unaishi maisha ya ze ze ze Tanzania....
 
Hawa mbona na marais ulaya lakini hawajui English?
 
Hao kwao huko Kingereza hakihusiki kwenye chochote maana wanazalisha kila kitu kwa lugha yao kuanzia chekechea, ila nyie hapo hata sindano na panadol zote mnaagiza, na mikataba na sheria na vitu vingi mumeandikiwa kwa Kingereza ambacho huwa kinawapiga chenga na kuwatia kiwewe....hehehe
Ndio maana nikasema huko kwenu ukiwa na hela na haujui English unaishia kutofurahia hela yako maana unakumbana na vitu vingi vimeandikwa kwa English unaishia kuwa na hasira hasira.
 
Kama sakozii na makron wanasema zezezeze mimi ni nani nichekwe?
 
Kama kazipata bila English atazitumia bila English vile vile sababu inaonesha English haina mchango wowote kwenye pesa zake sa iweje kwenye matumizi iwe muhimu?
Ungelijua vile hao wasanii wenu wanahangaika na hicho kingereza wala usingelithubutu kuandika ujinga hapa
 
Back
Top Bottom