[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa ndio mtumie fursa hiyo kujifunza vitu vya kujenga, ila kwa asili yenu ya wizi na utapeli mtajifunza wizi /ulaghai wa kwenye mitandao na sitashangaa soon mkiwapiku wanigeria kwenye wizi wa kwenye mitandao.
Kwa uelewa wangu finyu najua kazi mtaani ni kuzoa taka na kufyeka majani pembeni mwa barabara kama wafanyavyo Tanroads, pia kutengeneza Park areas maeneo ya mabanda, nitafutie kibarua basi jirani?
Hustler ndio alipatia slogan yake ya wilbaro kutokana na hiyo kazi mtaani ilioanzishwa na uhuru lakini mnamsulubisha utafikiri kaleta dini mpya ya makafiri
angalia namna unavyojenga hoja,kama mbuzi yaani,[emoji38][emoji38].Nchi ya watu wasiokua na elimu na maskini kama kwenu huko hamtaelewa hili, upeo wako umeishia kwenye hilo la kuzibua vyoo.
mbona unajua english na bado kichwa yako ni duni sana!!!Sio kila mtu anapaswa kufanya hizo kazi zako, wengine wanapaswa kufanya za kutumia ubongo, wewe endelea kuzibua vyoo.
Jifunze English uongeze upeo wako.
Sasa ndio mtumie fursa hiyo kujifunza vitu vya kujenga, ila kwa asili yenu ya wizi na utapeli mtajifunza wizi /ulaghai wa kwenye mitandao na sitashangaa soon mkiwapiku wanigeria kwenye wizi wa kwenye mitandao.
Huyu wa ze ze ze ze mbona ana pesa kuliko serikali yenu?Sio kila mtu anapaswa kufanya hizo kazi zako, wengine wanapaswa kufanya za kutumia ubongo, wewe endelea kuzibua vyoo.
Jifunze English uongeze upeo wako.
unajua ni Watanzania wachache sana wanaomiliki smartphone(s)... laptop ndio kabisa hata usiseme.... so usiwalaumu sana TTCL, walijua wanadeal na mamburulaNakumbuka TTCL walifunga free WiFi kwenye vituo vyote vikubwa vya daladala Dar, wakaondoa baada ya kuona hamna watumiaji
Akili finyu, kazi kwenye mitandao zipo kwa wingi. Kenya ni kati ya nchi zinazo ongoza duniani kwenye 'online freelancing', ambayo ni million dollar industry na hapo sijajumuisha IT innovation. View attachment 1689878Watafanya kazi gani na Wi-Fi wakati kazi mtaani za kuzibua mitaro zinawasubiri?
Kama kazipata bila English atazitumia bila English vile vile sababu inaonesha English haina mchango wowote kwenye pesa zake sa iweje kwenye matumizi iwe muhimu?Kuwa na pesa bila kujua kingereza unakua kama zezeta fualni hivi...
Mmevumbua nini cha maana kwenye ulimwengu wa internet?Akili finyu, kazi kwenye mitandao zipo kwa wingi. Kenya ni kati ya nchi zinazo ongoza duniani kwenye 'online freelancing', ambayo ni million dollar industry na hapo sijajumuisha IT innovation. View attachment 1689878
Kama kazipata bila English atazitumia bila English vile vile sababu inaonesha English haina mchango wowote kwenye pesa zake sa iweje kwenye matumizi iwe muhimu?
Hawa mbona na marais ulaya lakini hawajui English?Sasa hapo ndio mtihani una hela lakini haujui English, unaishia kuwa mtu wa ze ze ze...hehehe yaani kitu ambacho hauwezi ukakinunua, lazima usome la sivyo unaishi maisha ya ze ze ze Tanzania....
Hawa mbona na marais ulaya lakini hawajui English?
Kama sakozii na makron wanasema zezezeze mimi ni nani nichekwe?Hao kwao huko Kingereza hakihusiki kwenye chochote maana wanazalisha kila kitu kwa lugha yao kuanzia chekechea, ila nyie hapo hata sindano na panadol zote mnaagiza, na mikataba na sheria na vitu vingi mumeandikiwa kwa Kingereza ambacho huwa kinawapiga chenga na kuwatia kiwewe....hehehe
Ndio maana nikasema huko kwenu ukiwa na hela na haujui English unaishia kutofurahia hela yako maana unakumbana na vitu vingi vimeandikwa kwa English unaishia kuwa na hasira hasira.
Ila pamoja na yote bado wanasema ze ze ze zeKwa sababu kwenu huko haubuni chochote yaani wewe ze ze ze tu bila kushughulisha ubongo.
200m za madafu labdaHuyu wa ze ze ze ze mbona ana pesa kuliko serikali yenu?
Ungelijua vile hao wasanii wenu wanahangaika na hicho kingereza wala usingelithubutu kuandika ujinga hapaKama kazipata bila English atazitumia bila English vile vile sababu inaonesha English haina mchango wowote kwenye pesa zake sa iweje kwenye matumizi iwe muhimu?
Hakuna msanii wa kenya mwenye hata robo ya ukwasi wa dai, wasanii wenu wote dai anaweza kuwalipa kila mwisho wa mwezi jumla ya shows zao zote kwa miaka 10200m za madafu labda