Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo la kustaajabu eeh?kama unafata dini yako kwa ukaribu, na dini inakataza hayo mambo, basi huwezi busu mpaka siku ya siku, lakini uhusiano wetu huu wa kimataifa ! wala haiwezekani, mkianza kupendana tu, unatamani ku taste kiss ya mpenzi wako inakuwaje
Mkuu kibongo bongo inakuwaje? Hata walokore sidhan km ni wavumilivu kiasi hicho, sidhan km wanaweza!Mbona ya kawaida hayo! Upate mwanamke milionea na unakusudia kupata senti zake kupitia ustaarabu kwa nini ushindwe kumsubiri hata kama ni miaka kumi (10yrs). Ukiona hivyo ujue hawavutiani sexually. Otherwise, si kukiss tu bali wangechapana kabisa. Walokole wenyewe wanaonjana na kusema ni pepo halafu wanamkemea (Pepo) baada ya kufika kileleni na kumaliza haja zao iweje hao watu wa f*****g all times weweze kirahisi bila ajenda za siri? Ni mtazamo tu.