Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
GHAYO TheMongo BarbarianMzuka wana Jamvi.
Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache.
Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani , ucheshi nk yaani unyama sana . Jamaa apewe maua yake na heshima kubwa hapa Jf . Na alindwe kwani ni hazina kubwa hapa Jf kwa vizazi vya sasa na baadae ...
Uzi teyari
Ila adriz wewe ni mjinga. Badala ya kukasirika imebidi nicheke tu. Eti Ghayo de Mafwele. Hahaha adriz umeanza kuvuta bangi lini? Shauri zako wee tuige tu.Mzuka wana Jamvi.
Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache.
Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani , ucheshi nk yaani unyama sana . Jamaa apewe maua yake na heshima kubwa hapa Jf . Na alindwe kwani ni hazina kubwa hapa Jf kwa vizazi vya sasa na baadae ...
Uzi teyari
Asee dogo Semenya huku nikilio maamae bei ya hashish imepanda kichiz na upatakanaji wake umekuwa mgumu asee yani fak this counter narcotic bastards.
Kumbe Kuna member anaitwa Ghayo humu !
Mama FOREVER!
Kosa lipo wapi kwani wewe hujisifiagi na haujawahi kujisifia ?Umekuja kuisifia id yako nyingine
SifahamuNdiye aliyechukua tuzo ya mwanaume bora huko Daslam?
Weka UshahidiUmeamua kujipakulia minyama Kwa ID nyingine...
Huu ni utoto
Kwani Busu la Kenge ameacha lini kushabikia Magaidi wa Hamas walioanzisha Oct 07,2023 na kusababisha Gaza iwe magofu na maisha ya waarabu wengi kukatizwa?Mzuka wana Jamvi.
Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache.
Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani , ucheshi nk yaani unyama sana . Jamaa apewe maua yake na heshima kubwa hapa Jf . Na alindwe kwani ni hazina kubwa hapa Jf kwa vizazi vya sasa na baadae ...
Uzi teyari
SifahamuKwani Busu la Kenge ameacha lini kushabikia Magaidi wa Hamas walioanzisha Oct 07,2023 na kusababisha Gaza iwe magofu na maisha ya waarabu wengi kukatizwa?