Busu la Kenge ndio member Bora wa JF kwa mwaka huu 2025 mpaka sasa

Busu la Kenge ndio member Bora wa JF kwa mwaka huu 2025 mpaka sasa

Aiseeeee! Huku tunakoelekea kubaya, namana huyo matope naye ni bora humu ndani!, Sheng thengiroo shwaaao, mwambie nimempa la kati kwa kichina.
 
Kosa lipo wapi kwani wewe hujisifiagi na haujawahi kujisifia ?
1761456604859.png
 
Mzuka wana Jamvi.

Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache.

Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani , ucheshi nk yaani unyama sana . Jamaa apewe maua yake na heshima kubwa hapa Jf . Na alindwe kwani ni hazina kubwa hapa Jf kwa vizazi vya sasa na baadae ...

Uzi teyari
Si useme ni wewe?
 
Back
Top Bottom