Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Wee toto tundu bado upo macho tu? Haya kanye uruke kitandani mara moja.Aiseeeee! Huku tunakoelekea kubaya, namana huyo matope naye ni bora humu ndani!, Sheng thengiroo shwaaao, mwambie nimempa la kati kwa kichina.
Mkuu usimnenee mabaya mtumishi wa bwana wako, mbona mimi ni mtakatifu hapo S.T Andrew!.Kuna huyu Mjusi Sharobalo na Tumbili in town
Acha ufwala ww, nimeshakupa onyo malakibao tuheshimiane alaaaaa.Wee toto tundu bado upo macho tu? Haya kanye uruke kitandani mara moja
Nyau ww
Kosa lipo wapi kwani wewe hujisifiagi na haujawahi kujisifia ?
Nisamehe mkuu kama nimekengeuka kimtindo.Mkuu usimnenee mabaya mtumishi wa bwana wako, mbona mimi ni mtakatifu hapo S.T Andrew!.
Usiwaze yameisha, wanaume huwa tunayaongea kibalazani tunayamaliza haina haja ya kupelekana mahakamani.Nisamehe mkuu kama nimekengeuka kimtindo.
Si useme ni wewe?Mzuka wana Jamvi.
Busu la Kenge ni miongoni mwa member anayekuja kwa Kasi Jf na kujizolea umaarufu ndani ya mda michache.
Yote sababu ya mada zake zenye akili kubwa , mikato yake Unique jukwaani , ucheshi nk yaani unyama sana . Jamaa apewe maua yake na heshima kubwa hapa Jf . Na alindwe kwani ni hazina kubwa hapa Jf kwa vizazi vya sasa na baadae ...
Uzi teyari
SitakiSi useme ni wewe?
Limeisha hilooo!Usiwaze yameisha, wanaume huwa tunayaongea kibalazani tunayamaliza haina haja ya kupelekana mahakamani.