Ha haaaSifumbi macho, madem wenyewe siku hizi wahuni unakuta na yeye anakaza jicho hana habari, ukifumba unaweza ukukuta ashachomoa pesa mfukoni
Private geologist
hahahaaa!mkuu kumbe saresare tu hapo ndipo naonaga kweli napendwa busu bila pesa wap na waphaaha hapa mimi huwa naweka simu kifuani kwanza ! alafu naangalia huku na huku km navuka barabara ! kuna raha mno mume kukutumia pesa jaman !raha mnooo !
hahahaaa!mkuu kumbe saresare tu hapo ndipo naonaga kweli napendwa busu bila pesa wap na wap
is any sspu get wet in absence of moneyHahaha [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndo maana wahenga walisema "Respect the p#$sy that get wet when your wallet is empty"[emoji85] [emoji40] [emoji125]
MBITIYAZA ukweli busu ni kitu kinachoshangaza hasa kutokana na raha yake, wengi hufurahia sana kutoa na kupokea busu. Busu huunganisha hisia za ndani kabisa baina ya wawili.
Kisaikolojia ubongo hauwezi kukabiliana na vision zaidi ya moja za karibu mno yaani multi close-up visual hivyo kitendo cha uso kuwa karibu sana na ukichanganya zile hisia za mvuto, upendo na kururahia tendo la busu, lazima ujikute unafumba macho.
Hahahaha dadeki [emoji383] [emoji383] [emoji383] zitawafikisha pabaya mjue.haaha hapa mimi huwa naweka simu kifuani kwanza ! alafu naangalia huku na huku km navuka barabara ! kuna raha mno mume kukutumia pesa jaman !raha mnooo !
ahhhaha ila wewe unaonekana umenizid mbali saaaan! mie kwanza nikipewa pesa ukweli huwa nagutuka sana !maana sio kawaida !huwa nauliza ni kwangu au imepotea?? unakuta unajibiwa KALIPE ADA YA MTOTO!MBAAAAAAAFUUUUUUUUU! bas napokeaga tgps za hivyo tu !lol
nachokagaahhhaha ila wewe unaonekana umenizid mbali saaaan! mie kwanza nikipewa pesa ukweli huwa nagutuka sana !maana sio kawaida !huwa nauliza ni kwangu au imepotea?? unakuta unajibiwa KALIPE ADA YA MTOTO!MBAAAAAAAFUUUUUUUUU! bas napokeaga tgps za hivyo tu !lol
[emoji23] [emoji23]is any sspu get wet in absence of money
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imebidi tu nicheke, hilo tendo hata baunsa anarembua