Nyie fungukeni tu mama.ahhaha unajua ni emotionals hizi !tuache !mie nitakuja na id nyingine niwe low km Heaven Sent au Nalendwa ! najiuliza NITAWEZA?? maana mtu muongeaj hata andika yake tu unajua huyu ni talkative
Haha hata usihangaike, umezaliwa tu talkative. Na art ya mbiti inajulikana sanaahhaha unajua ni emotionals hizi !tuache !mie nitakuja na id nyingine niwe low km Heaven Sent au Nalendwa ! najiuliza NITAWEZA?? maana mtu muongeaj hata andika yake tu unajua huyu ni talkative
ahhaha unajua ni emotionals hizi !tuache !mie nitakuja na id nyingine niwe low km Heaven Sent au Nalendwa ! najiuliza NITAWEZA?? maana mtu muongeaj hata andika yake tu unajua huyu ni talkative
Kuche[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona ukichokonoa masikio unarembua macho?Kuna uhusiano gani?
Sifumbi macho, madem wenyewe siku hizi wahuni unakuta na yeye anakaza jicho hana habari, ukifumba unaweza ukukuta ashachomoa pesa mfukoni
Private geologist
Wacha we!!Mamie I think kufunga macho wakati wa kukisi inatokea tu automatic. Sipati picha una kiss huku mnaangaliana, kwanza mtacheka na mshindwe hata ku kiss tena, halafu pia eyelashes zinaweza kuwaingia machoni na raha yote ya shughuli ikapotea..
Wacha we!!
Mbiti huwa anakuwa kama kapigwa radi ya Tukuyu, afu kapeace yeye huwa kama anaumwa polio
hhaha afu hujawahi nichum mume sijui y!au usukuma umekujaa