Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nyie fungukeni tu mama.ahhaha unajua ni emotionals hizi !tuache !mie nitakuja na id nyingine niwe low km Heaven Sent au Nalendwa ! najiuliza NITAWEZA?? maana mtu muongeaj hata andika yake tu unajua huyu ni talkative
suala halikuwa kufunguka, bali kuna mahali anakuwa na swaga za kiume zaidi na kuna vitu aliongelea kama vile yeye ni me na sio ke.