Busu na kufumba macho vinahusianaje

Busu na kufumba macho vinahusianaje

Swaga zipi hizo, swtheart

Sent using Jamii Forums mobile app

hahaha mie pia kuna mtu aliwah sema nacomment km men !dah !niliishia kumuonea huruma sana sana !unajua men ngumu sana kujishongondoa shongondoa kucheka cheka nk heeheh kwakweli kwa hili mm expert! nadhan unavyoeleza in deep wanahis ww men kumbe watu mnayajulia hayo !hahaha nakumbuka neno POLIO bado nacheka sana!
mimi mtu ambaye simwelewi humu ni mshipa
 
Yaani mi naona mtu akisoma tu comment zangu ni rahisi kujua moja kwa moja kwmb ni ke, sasa sijui ni swaga zipi za kiume nilizonazo kwangu loh! Na hii style ya me kujifanya ke inakera na kuchanganya saiv hatuaminiani unaweza hisi unachat na me kumbe ke mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mi naona mtu akisoma tu comment zangu ni rahisi kujua moja kwa moja kwmb ni ke, sasa sijui ni swaga zipi za kiume nilizonazo kwangu loh! Na hii style ya me kujifanya ke inakera na kuchanganya saiv hatuaminiani unaweza hisi unachat na me kumbe ke mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app

mie kuna me nachatig nae pm ananiambia yy ana acc 5 mbili za kike !nikamuuliza why anajifanya mwanamke akasema basi tu nataka nione vidume !yaan naona anafurahia kutongozwa !toka pale namshangaa sana sana !mie nina account hii hii !sijui wanafanya haya ili iwaje !mxiew
 
Back
Top Bottom