Usiwe na hofu, mimi ni Business Consultant na nna kampuni yangu yenye wateja wengi wanao invest hapa na pale, wa ndani na wa nje.
Hilo ninalokuuliza ni jambo la kwanza kwa any interested investor kwenye kampuni iliyopo anataka ajuwe ili ahakikishe how organized you are na unachosema ndicho kilichopo na pia itampa picture ya vipi aingie nini kitamkabili akiingia au asiingie.
Hiyo ni kwa kuwa tayari umesemauna kampuni na ina biashara. Kama ungekuwa huna kampuni na biashara tayari lakini una biashara au mradi unataka kuanzisha na unahitaji partners, ningekuuliza vitu vingine kabisa na si tax returns. Ningekuuliza feasibilty study (simple one) iwe na p/l projections na iwe na ROI projections.
Nadhani itakuwa umenielewa.
acha makuzi mfanya biashara yeyote mjanaja tz asingetaka kujua kama unalipa tax angeuliza opposite na hio question yako na angeuliza huyu bwana anaujanja kiasi gani cha kukimbia kodi sio kulipa kodi ili imfaidishe nani kwa nchii hii, na hapo inaaonyesha ni jinsi gani unavyowachelewesha wateja wako kuwa matajiri