Busuness partner anahitajika haraka!

Busuness partner anahitajika haraka!

Usiwe na hofu, mimi ni Business Consultant na nna kampuni yangu yenye wateja wengi wanao invest hapa na pale, wa ndani na wa nje.

Hilo ninalokuuliza ni jambo la kwanza kwa any interested investor kwenye kampuni iliyopo anataka ajuwe ili ahakikishe how organized you are na unachosema ndicho kilichopo na pia itampa picture ya vipi aingie nini kitamkabili akiingia au asiingie.

Hiyo ni kwa kuwa tayari umesemauna kampuni na ina biashara. Kama ungekuwa huna kampuni na biashara tayari lakini una biashara au mradi unataka kuanzisha na unahitaji partners, ningekuuliza vitu vingine kabisa na si tax returns. Ningekuuliza feasibilty study (simple one) iwe na p/l projections na iwe na ROI projections.

Nadhani itakuwa umenielewa.

acha makuzi mfanya biashara yeyote mjanaja tz asingetaka kujua kama unalipa tax angeuliza opposite na hio question yako na angeuliza huyu bwana anaujanja kiasi gani cha kukimbia kodi sio kulipa kodi ili imfaidishe nani kwa nchii hii, na hapo inaaonyesha ni jinsi gani unavyowachelewesha wateja wako kuwa matajiri
 
we miyeyusho nani umesikia yupo interested na kulipa kodi bana usiwapotezee muda hao raia hata madowans wanatengeneza mabilions ukiwauliza hawawezi kukupa hizo details direct kama ww unavyo taka, na mambo ya assets hio sio public owned so hawawezi anza kuweka ma assets yao wazi, kama wewe unavyotaka but only ma share holders ndio wanapewa hizo details acha kujishaua as if ni serious business woman kumbe unapoteza muda tu wa mkuu, watu wanajitahidi kujiajili cos kazi zenyewe bongo hazieleweki we maswali mengi kwan we ni polis,

Wewe hata huelewi unachokiongea.
 
ahahahaaaaaaaaaaa uuh
 
hapo kwenye red ushasema kila mwaka,sasa hawa shughuli wameanza november mwaka jana,na sasa hivi april ata mwaka bado,unajua kabisa ata mwaka bado kama ambavyo umesema kwenye red hapo.

sasa huo ubishi na unachotaka kipi? watu walio serious na kazi washamtumia ujumbe.

huyu Faiza ametoka kumpigia kampeni rizione akili yake bado haujakaa sawa,mwacheni apumuwe!
 
Wewe hata huelewi unachokiongea.

we unajua ni nn exactly na maananisha hapo, sema we ulitaka tu kutunisha misuli hapa kumtisha mkuu, sasa faiza nakupa offer ya we kuni PM ilinije nikusaidie kwenye hio business yako jinsi gani ya kusave mihela toka kwa hao, financial predators the like ya TRA na wengine wengi unaonekana unamichongo ila hujui kutumia mianya kuwa tajiri see me, let me help you
 
Back
Top Bottom