No reforms no election
Kitendo Cha tume kuteuliwa na moja wa wagombea kimeondoa kabisa uhuruHaya ni maneno ya Mzee Butiku:
View attachment 3311754
Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini?
Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu?
Ya nini kuitisha chaguzi viini macho?
Ya nini kusumbua watu magerezani au hata kuwa na vyama vya siasa?
Hawa wazee walikuwa wazalendo wa kweli sio viongozi wa siku hizi wajanja wajanja tu...Nafurahi kuona Wazee nao wanasimama kwenye ukweli.
Ni sikio la kufa tu ndio litasema haya mambo hayawezekani au hayapo. Haiwezekani tuendelee kuishi kwa mifumo ileile kwa miaka zaidi ya 30 unless tumekua maiti zinazotembea.Haya ni maneno ya Mzee Butiku:
View attachment 3311754
Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini?
Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu?
Ya nini kuitisha chaguzi viini macho?
Ya nini kusumbua watu magerezani au hata kuwa na vyama vya siasa?
Hiyo clip ni yalini?
Huyu mzee wetu, mbona kama hatumuelewi kama zamani. Ndani ya mwezi mmoja anatoa kauli mbili zinazopingana.Baada ya Pasaka hiyo - trending.
Jana jioniHiyo clip ni yalini?
Huyu mzee wetu, mbona kama hatumuelewi kama zamani. Ndani ya mwezi mmoja anatoa kauli mbili zinazopingana.
Nimekuelewa,Tuangalie kauli iliyopo. Malaika tuwatoe wapi?
Nimekuelewa,
Na Butiku na waTanzania wote wanafahamu kwamba reforms zilishafanyika ndio maana taifa linaelekea kwenye uchaguz mkuu wa kihistoria kwa amani.
Na Butiku na waTanzania wote wanafahamu kwamba reforms zilishafanyika ndio maana taifa linaelekea kwenye uchaguz mkuu wa kihistoria kwa amani.
UShauri wa Mzee Butiku ni muhimu sana kwa waTanzania wote kwamba asiwepo kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini wa kuzuia wengine kwenda kupiga kura ikiwa yeye kazira, hana sifa au kwa hiyari yake hataki kupiga kura.
Tuimarishe demokrasia kwa amani nchini 🐒