Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Mwenyewe amekupa ruksa ya kupost picha yake humu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GuDume amekubali na yameisha ila naona wewe unazungusha kiaina!![emoji53][emoji53][emoji53]Weka ushahid mkuu
Alafu utanihalibia kwa butogwa wangu
Mbona unataka kupeperusha ndege wangu mkuu
Mwambie huyohuyu alishakuwa to/tanzania one kwahiyo picha zake ziko kila mahali na kafanya interview karibu media zote baada ya kuongoza taifa kwenye mitihan ya form4.
hata humu ukitafuta nyuzi zake na picha zipo myingi alishajadiliwa
Hahahaaaaa angalia ngosha asijidhuru maana kwa hapo liroho lake limemdondokea [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbona mimi nilishamuweka ndani zamani sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nambie mtoto mzur
Dar mojaWajanja wetu wapi mkuu
Kwani humjui kipenzi chako??Kwani ndo wewe mkuu