Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
- Thread starter
- #61
Hayo yote nimeyafahamu, lakini interest yangu ilikuwa kwenye Bein Sports ambayo inatumia hiyo IPTV, lakini doubt yangu ni kweli inawezekana kupata speed hiyo unosema ya 3mbps hizi sehemu zetu, na kama hiyo speed is possible ni which network?
Speed ya 3Mbps ni ndogo sana tena ndogo sana kwa hapa Dar na mikoa yenye 3G
Mm napata 16Mbps nikiwa na modem ya 42Mbps au 21Mbps ila hata nikiwa na 7.2Mbps(modem nyingi za hapa kwetu) nafikisha mpaka 5Mbps
NB usichanganye MBps na Mbps ni vitu viwili tofauti jaribu ku google kupata maarifa zaidi ya vipimo vya speed ili ukirudi nikupe maelezo zaidi ya IPTV
Ukitaka kufaidi IPTV kuwa na internet yenye ubavu kidogo e.g landline na Smile 4G
Iwapo utapenda IPTV nakushauri modem ya Tigo yenye kasi ya 14Mbps