Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

Avatar account inakuaje hiyo, naipata wapi? Sijawahi kuiskia mkuu. Modem ina'run kutokea wapi?

Soma post #1 ndo utaelewa vizuri umu katikati unaweza usielewe vizuri

Or call/whatsapp +255753932250
 
Avatar account inakuaje hiyo, naipata wapi? Sijawahi kuiskia mkuu. Modem ina'run kutokea wapi?

Labda swali langu linaweza kuwa la kizushi sana kwa sababu sina uzoefu kbs na hii teknolojia. Hivi unapoongelea hiyo modem, ni kwamba ni lazima uwe na computer iko active muda wote unapoangalia hizo channel ama hiyo dongle inachomekwa wapi? Naomba mnifute tongotongo walau nianze kupata picha.


Angalia Huu mchoro kwa nyuma

WST294.comag.comagsl2_1-420-90.jpg



Kuna sehemu ya kuchomeka waya Unaotoa kwenye Dish

Kuna sehemu ya USB hapo ndo unachomeka modem yako na wala hautaji Laptop sehemu yoyote
Unaitaji
1.TV
2.Receiver
3.Dish
4.Modem(Receiver ina support modem/wifi)

Kuna sehemu ya kuunganisha TV na receiver kwa kutumia AV cables(tv za vichogo) au HDMI(TV za Flat)

Bila shaka umenielewa mpaka hapo
 
Kaka hapo nimekuelewa vizuri sana, kwa msaada zaidi nitakupigia badae. Asante sana
 
Walokua wanauliza Drwambox hizo hapo mdau anauza....

Hii ni Dreambox 500s inatumia Enigma I OS inaitaji Router(50,000/=) na itakudai acct ya CCcam

CCcam ya mwaka utaipata kwa TZS 100,000/= na utakula DSTV bure mwaka mzima

Meanwhile mzigo wa HD Premium bado upo bei yake ni 235,000/= na unakuja tayari na 1yr Full and Free DSTV
 
Stock ya HD premium bado ipo ya kutosha...

Ina spport 3G Modem na WiFi

Hivo kwa WiFi utaitaji kifaa kinaitwa USB WiFi Adapter na kwa modem zile za ZTE na Hi Link hazikubali
 
In stock this holiday season
1.HD premium 235,000/=
2.Huawei modem 35,000/=
3.Qsat/Xmaster remote control 18,000/=
4.TV1 CCcam
5.A1 CCcam
 
Canal sports blazing hot like fire

Exclusive on TV1 CCcam and HD premium
 

Attachments

  • canal sports.jpg
    canal sports.jpg
    137.7 KB · Views: 134
kama mtandao ni hafifu katika eneo unaloishi tunafanyaje ili uweze kufaidi maisha ya Q-SAT.
 
Back
Top Bottom