Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
- Thread starter
-
- #81
Avatar account inakuaje hiyo, naipata wapi? Sijawahi kuiskia mkuu. Modem ina'run kutokea wapi?
Labda swali langu linaweza kuwa la kizushi sana kwa sababu sina uzoefu kbs na hii teknolojia. Hivi unapoongelea hiyo modem, ni kwamba ni lazima uwe na computer iko active muda wote unapoangalia hizo channel ama hiyo dongle inachomekwa wapi? Naomba mnifute tongotongo walau nianze kupata picha.
Kaka hapo nimekuelewa vizuri sana, kwa msaada zaidi nitakupigia badae. Asante sana
Mkuu SS hapo kwenye mb si ndo garama ilipo kwa mwezi?