Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
- Thread starter
-
- #101
kama mtandao ni hafifu katika eneo unaloishi tunafanyaje ili uweze kufaidi maisha ya Q-SAT.
Tumia Modem usitumie SIM CARD directly
Pia nakushauri uwe na server mbili Avatacam na TV1 CCcam
Kutumia modem badala ya sim card directly unakua na maana gani? Modem hizi za kawaida si zinakua na sim card, au unamaanisha nini?
Je, waweza pata HD channels za Ds+v kwenye hii Premium 11000 receiver?