KERO Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hakuna dawa na huduma si nzuri

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mwanza, Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hali mbaya sana, hakuna dawa wala huduma si nzuri, wagonjwa wanaelekezwa kununua dawa nje ya hospitali kuna duka husika, taasisi haina hata plasta.

Upande wa wanawake wajawazito wanakutana na changamoto ya vifaa, havipo vya kutosha, wananunua hadi kifaa cha kupitishia dawa kwa njia ya sindano (cannula) asee.
 
Ni moja ya sehemu ya hovyo sana sishaur mtu kwenda hapo napajua sana huduma za hovyo sana.

Ndio ivyo tena watu wa buzuruga, mecco, nundu, mahina, national, nyakato WANAENDA hapo ku hudumiwa
 
Back
Top Bottom