Bvm kwa diploma holders&mkopo

Bvm kwa diploma holders&mkopo

chibiliti

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Habar wakuu naomba kufahamishwa juu ya uwezekano wa mtu aliyechaguliwa Bvm kwa matokeo ya diploma anaweza pata mkopo?mm nimechaguliwa kozi hiyo na wazazi wangu hawawezi kunisomesha private so nataka kujua kama hapati niachane nayo ndoto ya kusoma degree.tafadhali naomba mnaofaham haya mambo mnisaidie.
 
Labda kama utaratibu huo utakuwa umeanza mwaka huu! Nina jamaa zangu wengi tu wako mwaka wa 4, 3 na 2 wote wanavuta mshiko wa 100%. Twende dogo, mkopo uko nje nje! By the way na mie nimechaguliwa huko kupitia Diploma, tutakuwa wote!
 
Habar wakuu naomba kufahamishwa juu ya uwezekano wa mtu aliyechaguliwa Bvm kwa matokeo ya diploma anaweza pata mkopo?mm nimechaguliwa kozi hiyo na wazazi wangu hawawezi kunisomesha private so nataka kujua kama hapati niachane nayo ndoto ya kusoma degree.tafadhali naomba mnaofaham haya mambo mnisaidie.

Japo sina uhakika lakini hiyo mambo ni lulu sana haiwezi kosa mkopo...cha msingi we jaribu kufuatilia kwa umakini hata ikiwezekana jaribu kuomba msaada kwa makambuni ya ufugaji mfano peramiho ranches,kagera sugar farms,interchik,mkuza,gold'n poutry farm,euro/amadori,dar chick na kadhalika...usikate tamaa ya kuchukua degree ndugu yangu coz ukipata BVM utajihakikishia ''gud life"...kama ukishindwa kabisa basi piga kazi na hiyo diploma ukusanye vishiling vya kugonga BVM..strive until you fetch your desires
 
Mungu wabariki walioomba loansboard wapate mkopo maana hali ya maisha ni ngumu mno vinginevyo upo uwezekano wa mtu kupata nafasi chuo na akashindwa kwenda shule.
 
Back
Top Bottom