Habar wakuu naomba kufahamishwa juu ya uwezekano wa mtu aliyechaguliwa Bvm kwa matokeo ya diploma anaweza pata mkopo?mm nimechaguliwa kozi hiyo na wazazi wangu hawawezi kunisomesha private so nataka kujua kama hapati niachane nayo ndoto ya kusoma degree.tafadhali naomba mnaofaham haya mambo mnisaidie.