Bw.Raila Odinga apewe "House Arrest" Mara Moja!

Hahah..jamaa katikisa chungu hadi walio madarakani wanatetemeka kiasi cha kutokwa ushuzi....hahahahah......eti "house arrest"..hahahahhh!......hahhahahahahhah!...nchi yenye katiba mpya......yaan jamaa anakubalika kweli.
 
Kwa Mtazamo wangu mimi naona Raisi wa Kenya Bw.Uhuru Kenyata anacheka na nyani (Bw.Raila Odinga) na matokeo yake atavuna Mabua!
Kama kuna kitu ningeweza kumshauri huyu dogo (Uhuru Kenyata) ni kumpa Bw.Raila Odinga House arrest mara moja yaani asiruhusiwe kusafiri nje ya Nchi vinginevyo kama akiendelea kumlea lea atayaona yaliyompata Mubaraka wa Misri...

Huyu Bw.Odinga ni kibaraka wa Wazungu na anakula njama na Wazungu kuimaliza Kenya, najua Wakenya mtasema Kenya inanihusu nini mie MTanzania, inanihusu kwa maana kama Kenya ikiangamia kama Somalia au Uganda nani anayefuata kama SIYO sisi (TZ)? Hivyo ni lazima tuhakikishe (Watz) Kenya haingukii kwa huyu kibaraka...
Kweli wewe akila yako ni kiujakazijakazi RAO na Uhuru nani ni kibaraka wamzungu zaidi ya mwenziye? Asilimia 96 ya viongozi wa nchi za Afrika wote ni vibaraka wa wazungu wakiongozwa na rais wako Kikwete.
 
Nadhani utakuwa mkikuyu hivi......punguza ushuzi huyo Odinga ni kiongozi ambaye amechangia demokrasia sana katika li inchi hilo miaka mingi kabla hata huyo dogo mvuta bange hajatoka kwa babake....pumbaf mkubwa wewe!

Hoja hapa ni kuwahusu Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta na
si huo ukabila ambao unataka ku introduce.

Kwahivi sasa, Uhuru Kenyatta ndie rais wa Kenya, na jana rais alimjibu bw
Raila Odinga, ndani katikati ya ngome yake ya kisiasa huko Nyanza,
Akamwambia kama shida ni chai hata lunch atampatia huko ikulu:smile-big:,
ka kile rais Uhuru hana ni mda wa kupoteza na vijisiasa kwani yeye
Uhuru yuko so busy akiongoza nchi na akamwalika Raila Odinga
kwa siasa mwaka wa 2017, general electons.
 
Kwa Mtazamo wangu mimi naona Raisi wa Kenya Bw.Uhuru Kenyata anacheka na nyani (Bw.Raila Odinga) na matokeo yake atavuna Mabua!
Kama kuna kitu ningeweza kumshauri huyu dogo (Uhuru Kenyata) ni kumpa Bw.Raila Odinga House arrest mara moja yaani asiruhusiwe kusafiri nje ya Nchi vinginevyo kama akiendelea kumlea lea atayaona yaliyompata Mubaraka wa Misri...

Huyu Bw.Odinga ni kibaraka wa Wazungu na anakula njama na Wazungu kuimaliza Kenya, najua Wakenya mtasema Kenya inanihusu nini mie MTanzania, inanihusu kwa maana kama Kenya ikiangamia kama Somalia au Uganda nani anayefuata kama SIYO sisi (TZ)? Hivyo ni lazima tuhakikishe (Watz) Kenya haingukii kwa huyu kibaraka...

Na ku unga mkono sana ndugu, mwaona nyote tabia za huyu bwana.

Yeye ni kisirani usiku na mchana.

Huyu bwana ni selfish na hua hapotezi wakati kuwatumia jamii yake na
anapo patachake hua anawapigilia teke mbali.

Alipo kua waziri mkuu, familia yake wote walikua wameshikilia high
offices, na hakuwafanyia chochote wale vijana ambao kila siku
hua wana mpigania.

Alipochukua ofisi ya waziri mkuu, nilifikiria kwamba ataanza ligi za mpira
Nairobi kote na Nyanza, kuwadhamini vijana katika michezo hata
kama angelifanya hayo katika eneo lake la zamani katika
gettos za huko kibira.

Lakini hakufanya lolote na sasa anataka kuwatumia kwamara nyingine
hawa vijana kuipindua serikali ya Kenya.
 
Lakini kwa bahati mbaya, Raila Odinga amedhitibitiwa kikamili kwani
hata ulinzi wake wa kibinafsi unatokana na serikali ya Kenya.

Kwahivyo hakuna vile anaweza kukata mti hali yuko juu ya
huo huo mti.

Juzi deputy president William Ruto baada ya kumcheka Raila
Odinga, aliwahidi wananchi huko Kericho, kwamba wasiogope kwani
Raila Odinga amemdhibitiwa na si tisho kwa yeyote.

Raila Odinga ana fanya shadow boxing lakini atakapo jaribu kurusha
ngumi yakwanza atakabiliana na moto amabo utamumaliza kisiasa.
 
Wahuni?? we mwehu kwel, wale waitwa AL-SABAAB. Majemedali wa allah, wanapigana kwa ajili ya allah(fis-sabillah) au waite mujahid fi-llah. We unadhani wakogea kopo wenzio wale.
wanapigana kwa ajili ya allah kwa kuuwa watu ovyo ovyo fis billah
 
Hahah..jamaa katikisa chungu hadi walio madarakani wanatetemeka kiasi cha kutokwa ushuzi....hahahahah......eti "house arrest"..hahahahhh!......hahhahahahahhah!...nchi yenye katiba mpya......yaan jamaa anakubalika kweli.

yule anayetetemeka wakati huu sio walio serikalini bali ni sisi mimi na wewe,,tutakapoanza kukatana kwa mapanga viongozi watakuwa salama na ulinzi huku mwingine kibaraka cha marekani atapanda ndege moja kwa moja kujihifadhi kule. waliobaki ndio tutaanza kuumia. nijuavyo COrd ni waoga, hawatawezi kutekeleza saba saba. siku hizo kulikuwa na ukandamizaji wa haki za binadamu. wakati huu saba saba inaitwa kuongelea bei ya bidhaa kupanda na kuongezeka kwa visa vya ugaidi.

kwa kuwa Raila hana cheo cha utenda kazi popote pale isipokuwa chama chake kinachotakinana ni rais kupuuzilia mbali mazungumzo yenye masharti na kuruhusiwa kuendelea na mikutano ya kisiasa.
 
Kwa Mtazamo wangu mimi naona Raisi wa Kenya Bw.Uhuru Kenyata anacheka na nyani (Bw.Raila Odinga) na matokeo yake atavuna Mabua!
Kama kuna kitu ningeweza kumshauri huyu dogo (Uhuru Kenyata) ni kumpa Bw.Raila Odinga House arrest mara moja yaani asiruhusiwe kusafiri nje ya Nchi vinginevyo kama akiendelea kumlea lea atayaona yaliyompata Mubaraka wa Misri...

Huyu Bw.Odinga ni kibaraka wa Wazungu na anakula njama na Wazungu kuimaliza Kenya, najua Wakenya mtasema Kenya inanihusu nini mie MTanzania, inanihusu kwa maana kama Kenya ikiangamia kama Somalia au Uganda nani anayefuata kama SIYO sisi (TZ)? Hivyo ni lazima tuhakikishe (Watz) Kenya haingukii kwa huyu kibaraka...
ndugu
nchi haziongozwi kwa hulka, takwa au mawazo ya mtu au kikundi flani kwa jinsia ya mtazamo wake au hofu yake. na hili ndilo tatizo la viongozi wetu wengi,Mkuu wa nchi analo jukumu moja, moja tu. Kulinda na Kusimamia kwa ukamilifu utekelezaji wa KATIBA ya nchi.

Kiongozi yeyote au mwananchi wa kada yoyote atayekwenda kinyume na matakwa ya wananchi wote wa nchi husika yaliyowekwa na kufafanuliwa kwenye katiba, sheria na kanuni zake basi huyo ataikorofisha nchi na nchi lazima imkorofihe yeye, na si vinginevyo.

iwapo Raila amevunja mojawapo ya elekezi la katiba sheria iachiwe wigo wa kutekelezeka. Si sheria wala haki wala uzalendo kumtuhumu Kiongozi ambaye upande wa pili ni raia kama wewe na mtu mwenye familia na wajihi kwamba ni kibaraka wa watu wa taifa jingine pasipo ushahidi wa waziwazi. ni dhambi na roho baguzi.

rekebika kwanza
 
wengi wenu hamjui popular struggle has many heads.....how long does it take to publish memoirs?.....unataka kuniambia huyu bana ashamaliza kuchapisha vitabu vyake?...sasa amebaki kuvunja katiba waziwazi na kutumia mikutano ya saba-saba na wananchi kama sababu....mnavyozungumza mko radhi kenya kusambaratika, ukweli yenyewe huna kwamba kenya inangozwa bila utekelezaji wa katiba. kelele hizi zote hazihusiki kutetea mwananchi wa kawaida, ni kwamba cord walitia saini katika contract nyingi za miradi kwa serikali iliopita, na sasa serikali imechukua kubadilisha contract hizo. usidanganywe eti ni mazungumzo ya kujenga wananchi.

mtu mwenye familia na wajihi kwamba ni kibaraka wa watu wa taifa jingine pasipo ushahidi wa waziwazi.

wewe unadhani watakubali mtu mwingine asiye na usawishi?, lazima kuna jambo kinapangwa na huyu jamaa kwa ushirikiano na wafidhili wake kutoka marekani. Ni vema mngangano huu unadhihrisha vile uongozi wa kenya umekuwa miaka hii yote. Uongozi wa kenya haujakuwa na kingine ila ubadhirifu wa fedha na rasilimali. Fuatilia bajeti ya kila mwaka toka 2002 halafu chunguza utuambie ni miradi gani iliyopangwa kufanywa imekamilika. kinachozozaniwa hapa na njia za ugavi wa rasilimali kati ya vikundi vya wanasiasa, ambayo katiba inaeleza wazi wazi....ni kama mdau moja alivyoandika hapa hivi majuzi ..this is grandstanding...Kama anaiamini katiba na aiheshimu vinginevo malipo ya jitihada zake zinatoka uzunguni.
 
Kwa Mtazamo wangu mimi naona Raisi wa Kenya Bw.Uhuru Kenyata anacheka na nyani (Bw.Raila Odinga) na matokeo yake atavuna Mabua!
Kama kuna kitu ningeweza kumshauri huyu dogo (Uhuru Kenyata) ni kumpa Bw.Raila Odinga House arrest mara moja yaani asiruhusiwe kusafiri nje ya Nchi vinginevyo kama akiendelea kumlea lea atayaona yaliyompata Mubaraka wa Misri...

Huyu Bw.Odinga ni kibaraka wa Wazungu na anakula njama na Wazungu kuimaliza Kenya, najua Wakenya mtasema Kenya inanihusu nini mie MTanzania, inanihusu kwa maana kama Kenya ikiangamia kama Somalia au Uganda nani anayefuata kama SIYO sisi (TZ)? Hivyo ni lazima tuhakikishe (Watz) Kenya haingukii kwa huyu kibaraka...

vipi mbowe ?
 
wengi wenu hamjui popular struggle has many heads.....how long does it take to publish memoirs?.....unataka kuniambia huyu bana ashamaliza kuchapisha vitabu vyake?...sasa amebaki kuvunja katiba waziwazi na kutumia mikutano ya saba-saba na wananchi kama sababu....mnavyozungumza mko radhi kenya kusambaratika, ukweli yenyewe huna kwamba kenya inangozwa bila utekelezaji wa katiba. kelele hizi zote hazihusiki kutetea mwananchi wa kawaida, ni kwamba cord walitia saini katika contract nyingi za miradi kwa serikali iliopita, na sasa serikali imechukua kubadilisha contract hizo. usidanganywe eti ni mazungumzo ya kujenga wananchi.

mtu mwenye familia na wajihi kwamba ni kibaraka wa watu wa taifa jingine pasipo ushahidi wa waziwazi.

wewe unadhani watakubali mtu mwingine asiye na usawishi?, lazima kuna jambo kinapangwa na huyu jamaa kwa ushirikiano na wafidhili wake kutoka marekani. Ni vema mngangano huu unadhihrisha vile uongozi wa kenya umekuwa miaka hii yote. Uongozi wa kenya haujakuwa na kingine ila ubadhirifu wa fedha na rasilimali. Fuatilia bajeti ya kila mwaka toka 2002 halafu chunguza utuambie ni miradi gani iliyopangwa kufanywa imekamilika. kinachozozaniwa hapa na njia za ugavi wa rasilimali kati ya vikundi vya wanasiasa, ambayo katiba inaeleza wazi wazi....ni kama mdau moja alivyoandika hapa hivi majuzi ..this is grandstanding...Kama anaiamini katiba na aiheshimu vinginevo malipo ya jitihada zake zinatoka uzunguni.

Taratibu usitokwe na povu bure mazee. Huyo Rais wenu hana la maana ila kujaza serikali na
watu wa mitaa ya kati kana kwamba hamna makabila mengine. Wezi wa mali ya uma wamezidi
kila sehemu n Rais hafanyi lolote ila kuwashabikia hadi kutia sahihi mikataba feki inayowagharimu
wakenya hela kibao Alafu mauaji nayo pia yamezidi kila kona ya nchi...aloo hebu amka hapo ulipo
na acha hisia za uongo hapa mazee. Ushakua kichekesho na hii ngoma unayojaribu kupiga kila siku.

Haya ni mawazo ya wakenya wengi na sio Raila kama unavyojaribu kudanganya kadamnasi!
 
Railaphobia is messing up some folks around here. Raila Odinga is here to stay!...Get used to it!

the security detail et al that is just to boost his ego! all the hullabualoo is preparing himself phsycologically for his retirement in politics
 
Taratibu usitokwe na povu bure mazee. Huyo Rais wenu hana la maana ila kujaza serikali na
watu wa mitaa ya kati kana kwamba hamna makabila mengine. Wezi wa mali ya uma wamezidi
kila sehemu n Rais hafanyi lolote ila kuwashabikia hadi kutia sahihi mikataba feki inayowagharimu
wakenya hela kibao Alafu mauaji nayo pia yamezidi kila kona ya nchi...aloo hebu amka hapo ulipo
na acha hisia za uongo hapa mazee. Ushakua kichekesho na hii ngoma unayojaribu kupiga kila siku.

Haya ni mawazo ya wakenya wengi na sio Raila kama unavyojaribu kudanganya kadamnasi!

wewe huenda uko viroba🙂 kulingana na hili hata wewe hamna jipya hapa. la msingi ni uhuru is always smarter than Jatelo, Goldenberg na angloleasing zimetudhihirishia, wabunge ndio hukubali mikataba hii feki iendelee. sasa mtu moja bunge anakubali anglolesing mwingine anakubali goldenberg. iko wakati raila alikubali kuwa angloleasing ilikuwa imewasilisha miradi yote. huenda ni nyie wasomi mtapigana wenyewe sie wakenya hatupo! tunatazama kwa umbali migogolo ya wanasiasa.
 
Taratibu usitokwe na povu bure mazee. Huyo Rais wenu hana la maana ila kujaza serikali na
watu wa mitaa ya kati kana kwamba hamna makabila mengine. Wezi wa mali ya uma wamezidi
kila sehemu n Rais hafanyi lolote ila kuwashabikia hadi kutia sahihi mikataba feki inayowagharimu
wakenya hela kibao Alafu mauaji nayo pia yamezidi kila kona ya nchi...aloo hebu amka hapo ulipo
na acha hisia za uongo hapa mazee. Ushakua kichekesho na hii ngoma unayojaribu kupiga kila siku.

Haya ni mawazo ya wakenya wengi na sio Raila kama unavyojaribu kudanganya kadamnasi!

tunayoyashuhudia ni matunda na matokeo ya intellectuall life brewing hatred slowly one agiants the other.......I have always said that intellectual life will not take kenya to the promised land. what we are seeing politicians engulfed with fear, fighting fear with fear and only wisdom from God is needed. these problems are motivated by uncertainty.

kitachotupeleka kanani ni kizazi kipya chenye ruwaza, not the old folks that still have the tribal ideology.

wezi wa umma wamekua kwa muda na sio siri. ashante kutuelimisha but this one from you is too late.

Raila pia kasema kuna fedha pale katika benki za uswizi alijua vipi isipokuwa alishirki kupeleka fedha huko. na pia kasema mikataba mengine ya anglo-leasing ilikuwa halali. tumfukuze mfisadi kumteua mfisadi. kwa sasa ungekuwa unazungumzia jambo lingine.

ninalokuambia si geni....... soma historia ya CIA ndani ya guatemala na cuba miaka za sabini, ndio utaelewa ninazungumzia nini
 
you can not arrest your ex-boss until proved so before the court of law.

tusipende kuwachonganisha waafrika wenzetu kwani kwa kufanya hivyo
ipo siku moja nasi tutachonganishwa na watu/waafrika wenzetu.
 
Back
Top Bottom