DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 949
- 1,260
Binafsi, sija amini tundu lisu anapatawapi ujasiri wa kumdhalilisha Nyerere. Nahisi amechoka na maisha ya kisiasa.
hao watu waliotupa nchi huwa hawaguswi....
kudai hati ya muungano lilikuwa ni mawazo finyu tu, kwani Leo hii tusipo oneshwa hati Kuwa tumepewa Uhuru na waingereza mwaka 61' tanganyika itakuwa sio huru?
Kwa mawazo yangu, nchi sio campuni, kuna document zingine muhimu huwezi kuonesha kila mtu Akitaka......
nimeamini kuwa kusoma sio Kuwa na maarifa.......na kama huyo ndiyo mwanasheria wetu mkuu wa choma.....tunaelekea papaya..........
Muungano ni makubaliano ni tofauti kabisa na Uhuru ambao unaweza ukalazimisha kuupata aidha kwa vita au mapinduzi kama Zanzibar.
