Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

hivi nyerere ndo hakuwa anakosea jamani? yani kila alichokuwa anafanya ni sahihi tu,hilo ndo mnataka tuamini?
 
Na wanaomwita wakili msomi akili hawana kwani kuna wakili kajua sheria bila kusoma??

Pole usiyejuwa maana ya neno msomi. Katika sheria mtu msomi nialiyebobea kwenye taaluma hiyo na si kujuwa kusoma nakuandika Lissu nimsomi kitaaluma amebobea pia juwa sikila wakili nimsomi maana yake hawajabobea mfano mtu ambaye kapata uwakili mwaka jana hatumwiti msomi au wakili wa mahakama za chini ambaye hatambuliki mahakama kuu huyu si msomi kwa maana hajabobea kwenye taaluma hii
 
Huyu anayeitwa Mwanasheria makini (Bw.Tundu) hapa kwetu sidhani kama leo hii anaweza akatuma vyeti vyake Mckinsey na akapata kazi au hata kuitwa kwenye usahili tu... Hawa tunaowaita Wasomi ni huku huku Bongo tu ndio wanatudanga danya na vimisamiati vyao vya kiingereza na kupekuwa google lkn ikija kwenye Wasomi wa Kimataifa hamna kitu... Nina uhakika Bw.Tundu hana uwezo wa kuomba kazi Mckinsey na hata wakamfikiria, sasa huo Uanasheria wake unaoitwa Makini uko wapi? Mahakama ya Mnazi mmoja ama...

Kijakazi
Naona sasa umeanza kuroka kwenye mada yako. Kwani kaomba kazi au ameomba kazi kwenu au anashida nakazi, kwenu niwapi na kwetu niwapi? Nilitegemea ujikite kwenye hoja yako nasi kuyumba yumba nilitegemea kama kweli uko kwenye taaluma ya sheria ungesema niwapi kakosea kwakusema uwongo lakini sijaona kosa eti kumkosoa Nyerere mimi pia sipendi mtu amtukane Nyerere ila kama anasema ukweli basi tuvumilie tu
 
Pole usiyejuwa maana ya neno msomi. Katika sheria mtu msomi nialiyebobea kwenye taaluma hiyo na si kujuwa kusoma nakuandika Lissu nimsomi kitaaluma amebobea pia juwa sikila wakili nimsomi maana yake hawajabobea mfano mtu ambaye kapata uwakili mwaka jana hatumwiti msomi au wakili wa mahakama za chini ambaye hatambuliki mahakama kuu huyu si msomi kwa maana hajabobea kwenye taaluma hii

Ha ha haaaaaaa the return of???
Ritz fika pande hii satellite ishanasa mtu huku
 
Last edited by a moderator:
sasa kapoteza muda gani wakati hati imeshapatikana kwa ajili ya alichosema,rais jk alishawahi kumsifia lissu kuwa yeye peke yake ni kama bunge zima?...lissu ni intelligent na INAHITAJIKA INTELLIGENT MIND KUMWELEWA LISSU
Alichokuwa anakifanya, alidhani hati haipo kwa asilimia kubwa...
He is according to you but he is not according to me.
 
Lissu ni kizazi kinachowakilisha falsafa mpya ya kuwa hata km una mazuri meeengi km mwl.Nyerere yapo mabaya coz hakuwa Mungu,Mtume,Mwenyeheri au Nabii hiyo ni juu yetu kuchukua mema yake yote bt tujifunze na mabaya yake tusije kuyarudia,mawazo yake yasiwe ndio mwisho wa upeo wa tz kufikiria.
Tz na katiba tunayoitaka tunapenda iwe ni muongozo wa nchi kwa miaka 50 ijayo, sasa bila kujua historia,nyaraka,waasisi,wapi walikosea turekebishe itakuwa tunajidanganya na tutasemwa na kizazi cha kina Lissu kijacho huku tukilala wanatutusi kwa kutuambia ukwel kwa lugha wazitakazo wao
 
Hilo unasema na Unaliona wewe! Subiri sasa Moto wake...

Moto gani huo, kosa alilolifanya ni kuacha mfumo ambao umehodhiwa na wahalifu na unatutesa sana. Angeiacha nchi ya kidemokrasia kamawalivyoacha akina Kwame Nkurumah tungekuwa mbali sana
 
sijasema kama sio intelligent kabisa bali siyo intelligent kama ambavyo wengi wenu mnadhania.
k
uhusu kuhusu hati ya muungano ingeweza kuletwa bila ya yeye kuongea aliyoongea dhidi ya mlm.nyerere hata kama ni ya ukweli kiasi gani, mtu intelligent alipaswa kutambua kwamba kuwa dhidi ya mlm.nyerere nchi hii utashindwa tu na mwishowe watu watakuupuzia na haijalishi ulikuwa uko sahihi kwa kiasi gani!

Huyo babu (mlm.nyerere) alishawahi na hakuna jinsi mtu anaweza kubadilisha hilo hata ajaribu vipi, hivyo mtu intelligent anapaswa kutambua hilo...waswahili tunasema ujanja kuwahi, na yeye basi alisha wahi wengine lazima tukubali tu...

umeeleweka mkuu, sana tu . Kimsingi ni kuwa hata kama nyerere alifanya makosa but the has a good intention. Wengine ni mahtama gadhi(india), mao(china), karume(zanzibar), kennedy(us), kwame nkurumah(ghana)Martin Luther JR.(US) hawa ni watu wakubwa duniani ambapo hata kama waliwahi kukosea lakini kwa vyovyote vile walichokifanya walikuwa na dhamira njema.
 
Acheni kukariri ujinga, Nyerere ni nani asisemwe? Mitume walisemwa, wakatukanwa, wengine waliuawa iweje Nyerere? Na isingewezekana kujadili muungano bila kumsema Nyerere ambae ndo anajua aliyoyafanya katika muungano, hoja zenu juu ya Nyerere zimekuwa monotonous
 
Kweli kabisa huyu Tundu Lisu Siyo Intelligent man, CCM wamemtega yeye kaingia kichwa kichwa sasa angalia anavyotoa majibu rahisi kwenye swala la kulipwa milioni 230!
 
Kweli kabisa huyu Tundu Lisu Siyo Intelligent man, CCM wamemtega yeye kaingia kichwa kichwa sasa angalia anavyotoa majibu rahisi kwenye swala la kulipwa milioni 230!

Kachemka huyo. Kila akionacho akitolea macho.
 
Kweli kabisa huyu Tundu Lisu Siyo Intelligent man, CCM wamemtega yeye kaingia kichwa kichwa sasa angalia anavyotoa majibu rahisi kwenye swala la kulipwa milioni 230!
Tatizo lake huyo mchumia tumbo ana majibu ya hasira lkn kichwani kweupeee, hiyo ni sheedah kweli, yaanihapo ni ZEROOOO
 
Tatizo lake huyo mchumia tumbo ana majibu ya hasira lkn kichwani kweupeee, hiyo ni sheedah kweli, yaanihapo ni ZEROOOO

Yani we kiazi kaongee na viazi wenzio lissu sio size yenu... #$&@$&&& mazafanta
 
Kuna watu humu hamtumii akili kuandika. Tatizo la TL liko wapi? Hamna hoja za maana mnaleta upoyoyo tu humu. Kusema ukweli ndo kumtusi mtu? Tatizo wabongo tumelelewa kusema uongo siku zote ndo maana hata maendeleo hakuna. Mtu ukitaka kusema ukweli, unaonekana wa ajabu kwa jamii iliyokuzwa kwa uongo. Badilikeni wale wote mliokuzwa kwa kupewa uongo siku zote
 
hivi nyerere ndo hakuwa anakosea jamani? yani kila alichokuwa anafanya ni sahihi tu,hilo ndo mnataka tuamini?

Hukuwa umezaliwa wakati mwal anahangaikia uhuru wala sidhani kama hata mama yako alikuwepo. Kuna mambo magumu sana alipitia huyu mzee na wenzake kulikomboa taifa mengine hayasemeki. Hiyo ni kwa dunia nzima wale viongozi waliokomboa mataifa yao wao pia wana mapungufu yao lakini mtu huwezi kuwadhalilisha namna ile hata ikiangalia ki umri tu.
 
Back
Top Bottom