Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!


Kwanza mleta mada yenyewe siyo intelligent. Kwa hiyo, anajuaje kuwa mwingine siyo intelligent?
 
Mkuu kijakazi,

Nafikiri umekosea kwa kumtusi mheshimiwa Tundu Lissu kwa kumwambia kwamba yeye hana akili yaani hatumii akili au hayuko intelligent katika kupanga, na kufanya maamuzi.

Ungesema hayuko mwelevu yaani clever pia nisingekubaliana nawe.

Ni topic pana kidogo lakini Mwalimu Nyerere alifikia hapo baada ya wazungu kumgundua kwamba ana high IQ hivyo kuiendeleza kiasi cha kumfanya pia awe mzungumzaji mzuri wa lugha ya kiingereza ingawa lafudhi ya kizanaki haikupotea kabisa.

Intelligence ya Mwalimu Nyerere ilimsaidia kufanya yale aliyoyafanya kwa taifa la Tanzania, lakini akaja kuharibu kwenye suala la Muungano na kilichotokea kinajulikana na kosa hilo halitafutika.

Mwalimu ni mmoja wa watu walioanzisha political establishment ambayo imekuja kuwa one of the most corrupt in Africa chini ya CCM.

Haya ni makosa makubwa ya mwalimu Nyerere.

Nyerere alikuwa ni binadamu hivyo ni lazima tukubali hilo kwamba alikuwa na mapungufu na moja ya mapungufu hayo ni kuwafunga akina Abdu Jumbe, Seif Sharif Hamad, Chifu Abdalah Said Fundikira, Joseph Kasela Bantu na wengine wengi tu.

Lakini mtu huyo huwezi kusema ni intelligent kwani anakosa moja ya attributes za kuwa intelligent kwamba inabidi uwe una uwezo kuwa kufikiria hasara na faida za uamuzi utakaoutoa yaani "reasoning" na effect yake kwa mtu uliemuathiri na familia yake na ukoo wake wote.

Naomba niishie hapo maana hii topic ulioanzisha si sahihi na unakuwa unakaribisha watu kusema yasiyostahiki.

Lakini Tundu Lissu is intelligent kufikia hapo alipo na akili hizo si za kuazima.
 

Ninachoona hapa ni kuwa TUNDU LISSU NI INTELLIGENT SANA kiasi kwamba watu kama wewe ni ngumu kumuelewa.Wewe unasema TUNDU LISSU sio Intelligent lakini wenzako walizima Matangazo ya Televisio ili TL asisikike.Alichotaka TL ni more ya wewe ulivyomuelewa.
 
Tia maji tia maji tu Tundu Lissu; wakati mwingine ana hoja za msingi saa zingine anabwaga vile vile kwa upayukaji unaopwaya na kumfanya hata mtu kujiuliza kama huyu kweli mwanasheria nguli.

Yote tisa juzi kwenye kuitaka serikari kurekebisha maneno kwenye muswada wa sheria wa 'whistle blower and witness protection' ajui hata intention is part of mens rea, kwenye criminal proceedings yeye anadai ni makosa kutoa tuhuma kabla ya tukio. Ina maana mi nikiona fulani ana nia ya kutenda ovu na kwenda kuripoti nia zake kwa Tundu Lissu hiyo siyo kosa hivyo ni shutuma tu (ata kama kweli kuna evidence za mabomu ya kwenda kulipua) no wonder Msando alimbwaga mwanasheria gani kwa sifa anazomiminiwa vitu basic vinampiga chenga.
 
Tatizo anajifanya mjuaje kisa kasomea Sheria wakati kilaza tuu hana jipya mtu wa kupinga pinga tu kila jambo
 

huyu....mleta uzi
nilivyosoma mpaka mwisho nimegundua atakuwa ni yule
mzee wa "INJI HII" mrema .
 
hujaelewa topic mdau:
 
mwalimu .Nyerere aliweza kufanya alichoweza kwa upeo & akili zake na kuandika historia yake ndani ya Tanzania na Duniani na hakuna aliyemkamilifu duniani maana wote tu binadamu, .Hivyo Tindu lisu asielekeze akili na usomi wake katika kukosoa tu kuhusu mwalimu Nyerere bali na yeye aifanyie kitu Tanzania ili aandike historia kwa kizazi chake na kijacho kimsome katika vitabu kama tunavyomsoma mwalimu Nyerere....Namshauri a work on akitambua kuwa TANZANIA INA MDAI KWA KIZAZI KIJACHO
 
kuwa na ulimi na mdomo pekee havifanyi tuongee kuna viungo vingi,,,,,,lakini humu vidole tuuuu kwao ni tosha
 
Angekuwa sio intelligent msingeleta saini za hati za Muungano.......as ingekuwa intelligent msingi kuwa mna poteza muda wa kuhangaika naye kama ambavyo sihangaiki na Lyatonga kwani sio intelligent ,,,,,,, ficha upumbavu wako......

Sign hata Simba walifoji ya Ramadhan Singano Lissu atashindwaje kufoji?
 
Acha wehu wewe kilaza, unamtetea kwani kakuoa au kamuoa dada yako eenh? Nyau weee
 
Mhhhhh!! Hivi ukilaza wako unafikiri kila mtu kilaza. Kuwa na adabu wakati mwingine na ficha ujinga wako siyo kila mtu anataka kuujua
Acha wehu wewe kilaza, unamtetea kwani kakuoa au kamuoa dada yako eenh? Nyau weee
 
Mhhhhh!! Hivi ukilaza wako unafikiri kila mtu kilaza. Kuwa na adabu wakati mwingine na ficha ujinga wako siyo kila mtu anataka kuujua

Wewe mwenyewe uko kwenye hilo kundi la watu uliowataja, nini hiki ulichokiandika?au ndo kusema hujaelewa mada?
Kamuulize Huyo Utundu wako unayemtetea mpaka unarukwa na akili ni kwa nini alikurupuka kuhusu uhalali wa hati ya Muungano?usitumike!
 
Kuwa intelligent si kipimo cha kukaa kimya hata kama waliokutangulia walikosea. Mwl J.K Nyerere alisema yeye hakuwa malaika na hata serikali yake kuna upuuzi ilifanya so lazima uongozi wake uwe criticized pia. Lissu ni intelligent kwani anajua anachokifanya. Kwa mfano hapo juzi alijua kabisa kuwa watatolewa bungeni na alifanya positive provocative strategy for a political gain kwa kuangalia udhaifu wa bunge lililo na CCM wengi kupitisha miswada ya dharura.
 

Kwa hiyo Lisu katika wabunge wote wa UKAWA ndo intelligent?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…