Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

Bw.Tundu Lissu siyo Intelligent!

Enzi zile watu kama hawa ilikuwa baada ya wiki 1 au 2 mnakuta maiti yake ikielewa Mto Ruvu au Wami. Tumezidi kuchekeana na hayo ndiyo madhara yake.

kauli hii sio ya mtanzania,nina wasiwasi na uraia wako
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!
kijakazi wa II, neno intelligent maana yake hasa ni nini kwa Kiswahili. Nauliza hivi kwa sababu kuna uwezekano kuwa tunatofautiana katika tafsiri sahihi ya hilo neno. Mimi lugha yangu ya kwanza ni Kiswahili na Kiingereza ni lugha yangu ya tatu na kwa msingi huo naomba tu unitolee ufafanuzi hapa...unaposema Tundu Lisu, kwa kusema aliyoyasema, hakuwa intelligent, napata taabu kukuelewa, nisaidie kidogo hapo ndio tuweze kusonga mbele. Natanguliza shukhrani.
 
Mag3,

Acha kumrusha stimu Mkuu kijakaziII,na kuzidi kupotosha Wanajamvi wengine hapa!

Usilete mashindano ya kutafsiri dictionaries hapa...kama vipi fungua thread nyangine kwayo,na sisi soote tutakuja huko,au!?

Weye itakuaje lugha yako ya kwanza iwe Kiswahili!?...wakti umetoka kwenu Kanda ya Ziwa Magharibi kuja hapo D'salaam ukiwa mtu mzima,sio!?

Hata yule Nyerere aka "Baba wa Taifa" pia Kiswahili haikua lugha yake ya awali...japo alikutangulia kufika hapo D'salaam! Daah!

Tafadhali jitahidi ujikite kwenye mada...punguza ujanjaujanja uso tija na kujaribu kuzungusha lugha! Kujitoa ufahamu kwa mtu mzima kama weye haileti taswira njema kwa vijana wako wa Bavicha!

Ahsanta sana.
 
Sijasema kama Sio Intelligent kabisa bali SIYO intelligent kama ambavyo wengi wenu mnadhania.
K
uhusu kuhusu Hati ya Muungano ingeweza kuletwa bila ya yeye kuongea aliyoongea dhidi ya Mlm.Nyerere hata kama ni ya ukweli kiasi gani, Mtu Intelligent alipaswa kutambua kwamba kuwa dhidi ya Mlm.Nyerere nchi hii utashindwa tu na mwishowe watu watakuupuzia na haijalishi ulikuwa uko sahihi kwa kiasi gani!

Huyo Babu (Mlm.Nyerere) alishawahi na hakuna jinsi mtu anaweza kubadilisha hilo hata ajaribu vipi, hivyo mtu intelligent anapaswa kutambua hilo...Waswahili tunasema Ujanja kuwahi, na yeye basi alisha wahi wengine lazima tukubali tu...

Sorry kifupi cha Mwalimu ni MWL au TR Kwa kiingilishi.
 
Hivi ule mchakato wa kumtangaza Nyerere kama Mwenye heri ulioshiaga wapi? Ha ha hii nchi bwana.
 
Watu waajabu sana mbona Yesu kristo alifanya maajabu na miujiza mingi lakni kuna watu wanampinga mpaka leo? Sio vibaya kuhoji uwezo wa nyerere yeye hakua mungu ndo mana wanasaikolojia wakizungu waliotuponda kwenye vitabu vyao sisi tumewapinga so nyerere hakufanya mazuri tu alifanya makosa either kutokana na hakukua na multiparty system wakajisahau au kwa utashi wake

Hukatazwi kumpinga yesu Kristo, ila usitegemee Pope francis akakuteua kuwa Cardinali wake kwa misimamo yako y akumpinga kristu,kwa bahati mbaya, logic nyepesi kama hizi hupaswi hata kufiaka darasa la 3 kuzifahamu.kwa matusi aliyoporomosha huyu bwana wakati wa Kampeni kazi ya CCM itakuwa kukodi Li-projekta kuuubwa na kuchezesha klipu ya huyu bwana akimwaga uporoto wake.

Watanzania sio watu wanaopenda confrontations.sis ni watu wa "kumuachia mungu", watu wa kusameheana, na watu wa kuheshimiana, ndio maana hakuna msiba utakaokuta marehemu anasemwa vibaya hadharani, hata kama alikuwa mshenzi kiasi gani. hiii ni mila yetu, kumsitiri marehemu. Naamini wakati Mwl anafariki huyu Lissu alikuwa na akili zake kamili, angetumia muda ule kuyatoa yaliyo moyoni, angeheshimiwa zaidi. kwa sasa kumkosoa mchonga unabidi utumie diplomasia.
Ni jambo lililo wazi JK hakukubaliana na JKN,lakini hajawahi kumporomoshea matusi ya na kumdhalilisha. Kwani mbali na mapungufu elfu mia kumi, huyu JKN hajakosa ustaarabu. KOSA kubwa la Lissu na wenzie CDM, hawana ustaarabu hawa jamaa
 
Mag3,

Acha kumrusha stimu Mkuu kijakaziII,na kuzidi kupotosha Wanajamvi wengine hapa!

Usilete mashindano ya kutafsiri dictionaries hapa...kama vipi fungua thread nyangine kwayo,na sisi soote tutakuja huko,au!?

Weye itakuaje lugha yako ya kwanza iwe Kiswahili!?...wakti umetoka kwenu Kanda ya Ziwa Magharibi kuja hapo D'salaam ukiwa mtu mzima,sio!?

Hata yule Nyerere aka "Baba wa Taifa" pia Kiswahili haikua lugha yake ya awali...japo alikutangulia kufika hapo D'salaam! Daah!

Tafadhali jitahidi ujikite kwenye mada...punguza ujanjaujanja uso tija na kujaribu kuzungusha lugha! Kujitoa ufahamu kwa mtu mzima kama weye haileti taswira njema kwa vijana wako wa Bavicha!

Ahsanta sana.

Duh gombesugu, kwanza mimi kama utakuwa tayari kujadiliana na mimi bila kuingiza Udini, hapo tutaongea lakini mnapoingia kwenye Udini, huko hutaniona. Usitegemee kuona mchango wowote kutoka kwangu unaogusia imani ya watu, huko hunikuti hata kwa dawa! Hayo nawaachia wachochezi wanaoamini wana undugu na wakoloni na walowezi waliotuletea mila zao wakiziita dini kuliko sisi ndugu zao Watanzania.

Pili niliwahi kuelezea historia yangu kidogo lakini naona umesahau, mimi ni Mtanzania kwanza ndio mambo mengine yanafuatia. Sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa toka nizaliwe (tafadhali amini hilo) ila kwa kweli siipendi na wala sijawahi kuipenda CCM maishani. Kidogo nijiunge na NCCR Mageuzi mwaka 1994 lakini alipoingia Augustino Mrema akitokea CCM na kupewa uongozi, mimi huyoo...nikarudi kwenye ganda langu.

Unao uhuru wa kunihusisha na Bavicha ingawaje kwa umri wangu nadhani Bavicha ni kwa wajukuu zangu na hata hiyo Chadema naisikia tu ingawaje nawaunga mkono dhidi ya ufashisti na ukoloni mamboleo wa CCM. Sijawahi kuyumba katika msimamo wangu na naamini suluhisho pekee katika kuutatua huu muungano wa kero ni mfumo wa serikali tatu na ingawa serikali moja ingefaa zaidi, mimi siyo dreamer niko down to earth.

Kuhusu lugha yangu ya kwanza ni kwamba nilianza kuongea Kiswahili nikiwa na umri wa miaka mitano na ukweli ni kwamba nakielewa Kiswahili kuliko lugha yoyote ile, asante zimuendee Mwalimu Nyerere! Hata hivyo naunga mkono rasimu kama ilivyotolewa na Tume ya Katiba ikiongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba pamoja na maelezo aliyoyatoa Mh. Tundu Lisu ndani ya Bunge Maalum la Katiba kuhusu mfumo wa serikali tatu.

Upepo wa Mageuzi ukiwa umeshika kasi miaka ya 1990, kiongozi mojawapo wa Mageuzi akiitwa Mabere Nyaucho Marando bila kujua msimamo wa Mwalimu Nyerere alitoa kauli iliyodai Mwalimu kafilisika kisiasa. Taifa zima lilikuwa kama limepigwa radi! huyu kijana kathubutuje kutoa kauli kama hiyo! Woga mkubwa ulitanda ndani ya taifa na Marando akajikuta ametengwa na ndugu na marafiki..hakuna aliyetaka kukaa karibu yake.

Tofauti na walivyoamini wahafidhina ndani ya CCM wakiongozwa na Raisi Mwinyi, Waziri Mkuu Malecela, Waziri wa Mambo ya Ndani Agustino Mrema walioamua kuendesha operation ya kanyaga sisimizi, Mwalimu bila kuwaonea haya alitamka kwamba kuongelea vyama vingi si dhambi. Akawatahadharisha CCM kuwa wajiandae kwani hawataweza kuuzuia upepo wa mageuzi. Huyo ndiye Mwalimu, alienda na wakati, alisoma alama za Nyakati.

Leo hii angekuwepo angewashangaa hawa malimbukeni wanaomnyooshea kidole Mh. Tundu Lisu. Yawezekana Mwalimu alikuwa na sababu zake za kutotaka Muungano uhojiwe nyakati zile kama ambavyo hakutaka mfumo wa vyama vingi baada ya uhuru lakini baadaye akawa wa kwanza kuikemea CCM kutokuwa tayari kukaribisha mageuzi. Mwalimu alishaanza kutambua kuwa ndoto yake ya serikali moja haiwezi tena kutimia.

Mwalimu pole pole alianza kuwa na wasi wasi na chama alichokiasisi yeye mwenyewe na hata mara moja hakuficha hisia zake kuhusu manyang'au walioiteka CCM. Usemi wa "CCM si mama yangu" ni ushadhidi tosha kuwa hakuafiki gari la CCM lilikokuwa likielekea na alikuwa anasubiri tu kituo muafaka aweze kushuka. Mwalimu kuitelekeza CCM? CCM bila Mwalimu? Hiyo haingewezekana, manyang'au hawangebaki salama...ni ama wao au Mwalimu!

Nina hakika alipo Mwalimu, anapoliangalia hili toto tundu, anatabasamu kwa sababu alijua ni swala la muda ukweli lazima utajulikana tu muda wake ukiwadia. Na huo muda umewadia, asante Tume ya Katiba, asante Tundu Lisu na asante Watanzania waliotoa maoni yao. Muda muafaka wa serikali tatu umewadia na kama ilivyokuwa kwa mageuzi, Mwalimu angekuwepo angewakumbusha CCM kwamba si dhambi tena kuongelea serikali tatu.
 
Alichokifanya Mh Lissu hakifai kuungwa mkono hata kidogo na mtu mwenye akili timamu.
 
Tofauti na walivyoamini malimbukeni ndani ya CCM wakiongozwa na Raisi Mwinyi, Waziri Mkuu Malecela, Waziri wa Mambo ya Ndani Agustino Mrema walioamua kuendesha operation ya kanyaga sisimizi, Mwalimu bila kuwaonea haya alitamka kwamba kuongelea vyama vingi si dhambi. Akawatahadharisha CCM kuwa wajiandae kwani hawataweza kuuzuia upepo wa mageuzi. Huyo ndiye Mwalimu, alienda na wakati, alisoma alama za Nyakati.

Leo hii angekuwepo angewashangaa hawa malimbukeni wanaomnyooshea kidole Mh. Tundu Lisu. Yawezekana Mwalimu alikuwa na sababu zake za kutotaka Muungano uhojiwe nyakati zile kama ambavyo hakutaka mfumo wa vyama vingi baada ya uhuru lakini baadaye akawa wa kwanza kuikemea CCM kutokuwa tayari kukaribisha mageuzi. Mwalimu alishaanza kutambua kuwa ndoto yake ya serikali moja haiwezi tena kutimia.

Mwalimu pole pole alianza kuwa na wasi wasi na chama alichokiasisi yeye mwenyewe na hata mara moja hakuficha hisia zake kuhusu manyang'au walioiteka CCM. Usemi wa "CCM si mama yangu" ni ushadhidi tosha kuwa hakuafiki gari la CCM lilikokuwa likielekea na alikuwa anasubiri tu kituo muafaka aweze kushuka. Mwalimu kuitelekeza CCM? CCM bila Mwalimu? Hiyo haingewezekana, manyang'au hawangebaki salama...ni ama wao au Mwalimu!

Nina hakika alipo Mwalimu, anapoliangalia hili toto tundu, anatabasamu kwa sababu alijua ni swala la muda ukweli lazima utajulikana tu muda wake ukiwadia. Na huo muda umewadia, asante Tume ya Katiba, asante Tundu Lisu na asante Watanzania waliotoa maoni yao. Muda muafaka wa serikali tatu umewadia na kama ilivyokuwa kwa mageuzi, Mwalimu angekuwepo angewakumbusha CCM kwamba si dhambi tena kuongelea serikali tatu.

Mkuu Mag3,

Hishma yako na nimekusoma!

Awali ya yoote...nasikitika mno kunihusisha na hizo tuhuma za udini, Mkuu wangu!? Daah!

Au na weye pia Mkuu umemezwa na hii popular misconception ya humu-JF!?...yakua kila Muislam basi lazim ashutumiwe "udini"/"mdini"!?....na kuondolewa kabisa kwenye kilinge cha mada zenye kujenga Taifa letu kwa pamoja Duuh!

Wajua tuhuma/shutuma kama hizi zisizo na mashiko...ndo labda pia ziwafanzazo baadhi ya Watanzania wenzenu wangine kujikhis even more marginalized,au!? Daah!

Sasa,huoni hatari ya kuwapo hali tata kama hiyo ndani ya Taifa letu changa,Mkuu!?

Sina lazim ya kunena mangi....natumai utanifahamu japo kiduchu Mkuu!?

Nimefurahika mno kusoma hii bayana yako ilo njema na hoja zako zoote!...nitaipitia kwa utuvu khalaf kiduchu!

Penye majaaliwa tajaribu niidodose kwa makini,na takujibu kesho nikawa pale kibaruani.

Shukran mno na nakutakia jioni njema!

Ahsanta.
 
Nenda Zanzibar uliza ni watu wangapi wanamkubali Nyerere. Na je unajua kuwa Zanzibar ndio walioshikilia hatima ya muundo wa serikali? Talking about intelligence? ...
 
Duh gombesugu, kwanza mimi kama utakuwa tayari kujadiliana na mimi bila kuingiza Udini, hapo tutaongea lakini mnapoingia kwenye Udini, huko hutaniona. Usitegemee kuona mchango wowote kutoka kwangu unaogusia imani ya watu, huko hunikuti hata kwa dawa! Hayo nawaachia wachochezi wanaoamini wana undugu na wakoloni na walowezi waliotuletea mila zao wakiziita dini kuliko sisi ndugu zao Watanzania.

Pili niliwahi kuelezea historia yangu kidogo lakini naona umesahau, mimi ni Mtanzania kwanza ndio mambo mengine yanafuatia. Sijawahi kujiunga na chama chochote cha siasa toka nizaliwe (tafadhali amini hilo) ila kwa kweli siipendi na wala sijawahi kuipenda CCM maishani. Kidogo nijiunge na NCCR Mageuzi mwaka 1994 lakini alipoingia Augustino Mrema akitokea CCM na kupewa uongozi, mimi huyoo...nikarudi kwenye ganda langu.

Unao uhuru wa kunihusisha na Bavicha ingawaje kwa umri wangu nadhani Bavicha ni kwa wajukuu zangu na hata hiyo Chadema naisikia tu ingawaje nawaunga mkono dhidi ya ufashisti na ukoloni mamboleo wa CCM. Sijawahi kuyumba katika msimamo wangu na naamini suluhisho pekee katika kuutatua huu muungano wa kero ni mfumo wa serikali tatu na ingawa serikali moja ingefaa zaidi, mimi siyo dreamer niko down to earth.

Kuhusu lugha yangu ya kwanza ni kwamba nilianza kuongea Kiswahili nikiwa na umri wa miaka mitano na ukweli ni kwamba nakielewa Kiswahili kuliko lugha yoyote ile, asante zimuendee Mwalimu Nyerere! Hata hivyo naunga mkono rasimu kama ilivyotolewa na Tume ya Katiba ikiongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba pamoja na maelezo aliyoyatoa Mh. Tundu Lisu ndani ya Bunge Maalum la Katiba kuhusu mfumo wa serikali tatu.

Upepo wa Mageuzi ukiwa umeshika kasi miaka ya 1990, kiongozi mojawapo wa Mageuzi akiitwa Mabere Nyaucho Marando bila kujua msimamo wa Mwalimu Nyerere alitoa kauli iliyodai Mwalimu kafilisika kisiasa. Taifa zima lilikuwa kama limepigwa radi! huyu kijana kathubutuje kutoa kauli kama hiyo! Woga mkubwa ulitanda ndani ya taifa na Marando akajikuta ametengwa na ndugu na marafiki..hakuna aliyetaka kukaa karibu yake.

Tofauti na walivyoamini wahafidhina ndani ya CCM wakiongozwa na Raisi Mwinyi, Waziri Mkuu Malecela, Waziri wa Mambo ya Ndani Agustino Mrema walioamua kuendesha operation ya kanyaga sisimizi, Mwalimu bila kuwaonea haya alitamka kwamba kuongelea vyama vingi si dhambi. Akawatahadharisha CCM kuwa wajiandae kwani hawataweza kuuzuia upepo wa mageuzi. Huyo ndiye Mwalimu, alienda na wakati, alisoma alama za Nyakati.

Leo hii angekuwepo angewashangaa hawa malimbukeni wanaomnyooshea kidole Mh. Tundu Lisu. Yawezekana Mwalimu alikuwa na sababu zake za kutotaka Muungano uhojiwe nyakati zile kama ambavyo hakutaka mfumo wa vyama vingi baada ya uhuru lakini baadaye akawa wa kwanza kuikemea CCM kutokuwa tayari kukaribisha mageuzi. Mwalimu alishaanza kutambua kuwa ndoto yake ya serikali moja haiwezi tena kutimia.

Mwalimu pole pole alianza kuwa na wasi wasi na chama alichokiasisi yeye mwenyewe na hata mara moja hakuficha hisia zake kuhusu manyang'au walioiteka CCM. Usemi wa "CCM si mama yangu" ni ushadhidi tosha kuwa hakuafiki gari la CCM lilikokuwa likielekea na alikuwa anasubiri tu kituo muafaka aweze kushuka. Mwalimu kuitelekeza CCM? CCM bila Mwalimu? Hiyo haingewezekana, manyang'au hawangebaki salama...ni ama wao au Mwalimu!

Nina hakika alipo Mwalimu, anapoliangalia hili toto tundu, anatabasamu kwa sababu alijua ni swala la muda ukweli lazima utajulikana tu muda wake ukiwadia. Na huo muda umewadia, asante Tume ya Katiba, asante Tundu Lisu na asante Watanzania waliotoa maoni yao. Muda muafaka wa serikali tatu umewadia na kama ilivyokuwa kwa mageuzi, Mwalimu angekuwepo angewakumbusha CCM kwamba si dhambi tena kuongelea serikali tatu.

Hivi kuna wakati Vicent Nyerere alihoji yaliyomkuta Mwalimu alivyokataa kwenda London kutibiwa. Akalazimishwa!!Akaondoka anatembea akarudi maiti. Hivi hilo jambo liliishia wapi. Nakumbuka alibezwa na kuambiwa si mtoto wa familia ya mwalimu. Kama kuna anayejua kilichotokea baada ya hiyo sakata atujuze. Thanks
 
Nyerere ni binadamu kama wengine na heshima yake inajulikana lakini sio vibaya na kukosoa alipokosea salsa tatizo lipo wapi? ccm acheni siasa zenu zenye fikra mgando Dunia sasa imebadilika hats kama MZEE huyu angekuwepo kwasas watu wange mkosoa ndio mana alisoma a lama za nyakati kipindi kule akang'atuka.
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!

Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!

Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...

Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...

Wewe ndio inteligent? Hata ulichoandika kinaonyesha wewe 'ilimu' yako ni ya kuungaunga! Achana na Lissu we kilaza!
 
We kijakaz ndio patumbo kweli yaan hii mada ungeenda kuiandika ktk gazeti la uhuru ungepata mazezeta menzako meengi kule sio hapa labda kwa kukusaidia wewena vilaza wenzako walio kushabikia hapa nikwamba nyerere hakuwa malaika sio kila matendo ya nyerere yalikuwa sahihi alikuwa kiongozi imara katika misimamo yake na alikuwa kiongozi mbaya ktk kubuni misimamo yake yeye ndio katufikisha hapa thanx to watu kama mwinyi na mkapa ambao walikuja kwenda kinyume naye ndio kidogo tukaanza kupata ahueni ila sio yule baba haambiliki alitaka tuwe kama DPRK kule au china ya mao bora BWM alikadedisha mapema kale kazee
 
Lissu amejipoteza kwenye siasa za Tanzania kwa kumtusi Nyerere na amezidi kuizamisha chadema kwenye ramani ya siasa za bongo...ni suala la muda tu..subirini upepo upite

Lissu ni INTELLIGENT ila HANA BUSARA, only that!
 
Nyerere ni binadamu kama wengine na heshima yake inajulikana lakini sio vibaya na kukosoa alipokosea salsa tatizo lipo wapi? ccm acheni siasa zenu zenye fikra mgando Dunia sasa imebadilika hats kama MZEE huyu angekuwepo kwasas watu wange mkosoa ndio mana alisoma a lama za nyakati kipindi kule akang'atuka.

Lissu alikuwa hakosoi bali alitukana kabisa!
 
hahaha, watu huwa wanajificha nyuma ya ukweli aisee.
ngoja kwanza, ina maana umetoa kura ya kulegalise bhange? :majani7::majani7:
Kama bangi ndiyo inawatoa nishai wabunge na kuwafanya waseme ukweli wa mioyoni mwao bungeni, then I am all for legalizing it.

Huyo Nyerere mwenyewe alivyokuwa anakutana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha DSM ikulu, na kuona hawachangamki, wamemkalia kimya katika sehemu waliyotakiwa kuwa na mazungumzo makali, aliwafungulia chupa za bia wakapunguza nishai na kufunguka.

Walatini walisema "In Vino Veritas".

Kwa hiyo kama kilevi kinahusika kuondoa nishai basi ni poa tu,

Cc : King'asti
 
Bw.Tundu sio mtu intelligent kama watu wengi wanavyodhania, kwa maana mtu intelligent huwa ana uwezo wa kujua madhara ya kile anachokisema kabla hajakisema!

Mtu intelligent yoyote anapaswa kufahamu ktk Nchi kama TZ hauwezi kuanzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere na ukashinda hata uwe nani, hata Raisi wa nchi leo hii akianzisha Vita dhidi ya Mlm.Nyerere hawezi kushinda mwishowe kuna mtu tu anaweza hata akajitoa mhanga kumlipua!

Ni sawa naleo hii Marekani mwanasiasa aanzishe Vita dhidi ya sijui Raisi Washington au Lincoln hawezi kushinda hata iweje hata kama huyo Mwanasiasa yuko sahihi kwa kiasi gani, vile vile kama ilivyo pia hakuna Mwanasiasa AK leo hii ambaye anaweza akaanzisha Vita dhidi ya Bw.Mandela na akashinda hata kama atakuwa sahihi kwa kiasi gani, na ndio maana utaona Wanasiasa wenye akili linapofika kwenye swala la hawa watu huwa wanakuwa waangalifu sana wawe ni Demokrats au Republikan hakuna anayethubutu kuwaongelea na kuwakashifu Lincoln hata kama walifanya makosa kiasi gani kwa maana wanafahamu kwamba hawa Watu nafasi yao imeshaandikwa kwenye Historia na huwezi kuifuta bila kukugharimu...

Bw.Tundu alipaswa aelewe kwamba hata kama Mlm.Nyerere amekosea kwa kiasi gani hakupaswa kumuongelea vile, alipaswa aelewe kwamba kuna watu wako tayari kufa kumtetea Mlm.Nyerere na hiyo ni Nchi nzima kuanzia jeshini mpaka Utingo wa daladala...

Jambo linalojadiliwa hivi sasa ni Muungano ambao Muasisi ni Mwl..Sasa iweje asiongelewe?

Mapungufu,Makosa..nk Katika kuunganisha hizi Nchi Lazima Mwl Atatajwa tu iwe kwa Mazuri/Mabaya..

Ni sawa huwezi kufuta historia lakini Kuna nafasi ya kurekebisha historia..Na hapa lazima kutahitajika Ukweli..

Mbona siasa za Tz zimesha wagharimu wengi tu hata kipindi cha Mwl??!! Ili kulinda historia..!!
mf: E.Sokoine..
 
Back
Top Bottom