Bwana akasema, ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke?

Bwana akasema, ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke?

Ukienda kwenye kesi yako Singida huwa unalala nyumbani kwa Lissu kwenye stoo?
Uwe mwelewa,

Muhimu ni USINGIZI, iwe stoo au chini ya mti.

Ajaye yupo kijani, fanyeni uamuzi sahihi Ili muendelee kuwepo angalau Kwa mitano ijayo.
 
Ndio,

Waulize viongozi wanaokalia viti kisiasa kuongoza watu Kwa niaba ya Mungu ikiwa Huwa wanasikia sauti ya Mungu kupitia NDOTO au maono au la?
Hamna kitu kama hicho, nowadays.
 
Ahabu ameamua kuingia vitani🤔
 
Na mapepo yameshajiokeza kumdanganya Ahabu kuwa aingie tu vitani, atashinda.
 
Back
Top Bottom