Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.

UPDATES
-------------------------
Bado natafuta sijafanikiwa
 
Watoto wa maaskofu wa makanisa ya kilokole ....u know what I'm talking about
 
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
Mimi ni mpole wewe, na ni mshika dini balaa, lakini nimeshagonga 50, nina nafasi hapo?
 
Mimi ni mpole wewe, na ni mshika dini balaa, lakini nimeshagonga 50, nina nafasi hapo?

Du! thanx God nimepata mume

Life is full of surprises

Kanisani ndio sehemu sahihi unapotakiwa kwenda kupeleka tangazo lako...good luck.

Wewe [HASHTAG]#Viol[/HASHTAG] ndio mtoto wa mchungaji? Au we ndo mchungaji?
SIO KAZI RAHISI,SIO KAZI NYEPESI MUNGU TU ANASAIDIA,....HUO MZIKI UWE UNADUNDA WAKATI NAENDA KUMPOKEA BIBI HARUSI......,pm me kama mlokole hii ndo raha ya kuokoka mambo wazi
 
Back
Top Bottom