Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Naona kasi ya walokole kutafuta wachumba JF inaongezeka..JF ni sehemu nzuri.
 
Mim baba mchungaji angrikana kanda y kaskazini ila nimeishia FM 4
 
nimeokoka V,imagine unavyolaliana na watu kama Nyani Ngabu we madem wengi humu ila bado upo hai,lazima uokoke
Aisee Nyani Ngabu ushawahi kufukuzia manzi wa angola?washikaji wa angola wakikuona wanamfuata manzi wako na kumwambia ana ngoma achana naye,,,,lazima uachwe
Ha haaa sawa bwana...

Basi usisahau mrejesho tu
 
Back
Top Bottom