Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,388
Usilitaje bure jina la BWANA Mungu wetu(sic), maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure ( Exodus 20:7)-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.
Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.