Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
Kama wew ni mtoto wa mchungaji...i dont think your dady kama atakua okay na hili suala lako. Sugua goti mke atapatikana
 
Nani huyu mfukua makaburi? I hope Viol uko na mke sasa maana November ndo imeshaisha hii
 
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
Kanisani kwenu,
Hamfundishwi kuomba ili mpate Mke sahihi?
 
UPDATES
-------------------------
Bado natafuta sijafanikiwa
Aliyeokoka wapi sasa, aliyeokoka kubakwa au kuliwana na simba???
 
Back
Top Bottom