Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaaaaaMke mwema hutoka kwa bwana, tafuta alietoka kwa bwana
Hili jibu nimelipenda. Ubarikiwe mtumishi, next time ukijibu weka herufi kubwa kabisa YESUNdani ya yesu hayanikuti
Hapa kwa jina LA yesu kama hujawapitia wadada humu.Jamani bado nipo single au masharti ni mazito?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] elimu form 6 Na masters hapo angeeleza mwanamke povu lingewatoka-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.
Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Tulioishia form four ndio hivo tena.
Jamani mnaniua mbavuHell no ushindwe kwa jina la yesu