Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Kwani kanisan apa? Apa jf bhana, nenda kanisan uko katoe tangazo
 
Kwa wale girls waliokuwa kwenye maombi kuhusu hii thread yangu,najua kuna roho mbili,moja ya kunipm ingine inasema usipm,hiyo inayosema usipim usikubali,...Mungu ana njia nyingi hebu pm me we can figure out,Mungu hana upendeleo kama morinho,inbox me
He hee pm ngapi ushapata mpaka sasa?
 
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.

Mkuu tembea utawaona...kuna mademu/machangu wa bongo muvi wengi tu ambao wamechoka kujiuza na sasa wamekimbilia makanisani kutafuta wanaume kama wewe.
 
Duh!!!mbn fully mashart?mke mwema na mume mwema hutoka kwa Mungu,Mungu awasaidie ambao bado hamjaoa au kuolewa,sema amen upone
 
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
Nenda katafute
makanisani utawapata, humu utapata vimeo
 
Back
Top Bottom