Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele mana mi mwenyewe...
-umri kuanzia 19-31
-tukikubaliana nitatuma wazee wangu process ianze.
-process itaanza,mipango ya ndoa lazima iwe kanisani.
-kanda ya kaskazini nawapa kipao mbele especially manyara,arusha singida tanga
-ndoa lazima kufanyika kabla ya November mwakani.
-Akubali kuja kanisani ,
-waliopo overseas nitawapa email makanisani,nitamkaribisha kanisani kwangu aje kutoa hata salamu.
Lengo lake iwe ndoa tu.

Mnakaribishwa warembo wenye sifa hizo,mi mkongwe humu ila huwa siingii sana unaweza kuni-PM namba zako za simu.
Fanya maombi mkuu..
 
Unakosali mpo wanaume watupu kama upo siliasi ingia kwenye maombi utampata unae fanana nae vinginevyo hacha kabisa utaumia
 
Hivi naota au ni kweli nipo macho
Mkuu Viol ni wewe au kuna mtu kakuibia pasiwedi yako
Honey Faith unakubaliana na uzi huu
Au Evelyn Salt anakubali kweli
miss chagga zari la mentali hili japo sijui kama Viol ana pesa za kukutosha ila vigezo unavyo
ladyfurahia umemuona kaka yako huku
 
Fanya hivyo haraka maana zoezi linakaribia kusitishwa
ila application tuma mapema mwambie wazi nipo na naenda kuokoka
Mkuu kama we Mzee wa kanisa au shemasi niunganishie bidada aliyejazwa roho mtakatifu
 
Unakosali mpo wanaume watupu kama upo siliasi ingia kwenye maombi utampata unae fanana nae vinginevyo hacha kabisa utaumia
Mkuu nishaomba sana magoti yana sugu
 
Mwaka Jana alitafuta mchumba akasema kapata this yr anatafuta mlokole mwenziwe!
Alinifanya bwenge mi nilidata kumbe kulikuwa na MTU alikuwa anamkwea,tukaachana
 
Ila haujaweka sifa zako ili tujitokeze kwa vizuri umeangalia tu upande wako? Na Mimi kujitokeza lazima nijiridhishe na sifa zako kama ziko vizuri.
Nitumie msg pm ......nitakujibu
 
Kuna mtt wa kirusi hapa..Nikuunganishie?
 
Back
Top Bottom