Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

My ex, 'they become those'
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwa hii kauli bado ungekuwa wangu ningekupa talaka hadi ya masikio
 
..sasa kwanini usingeenda church Yenu au Ya Jirani unakimbilia social networks Mkuu,haupo serious kabisa naona
Mkuu nasherekea miaka 10 ya kujazwa roho mtakatifu
 
Kwa wale girls waliokuwa kwenye maombi kuhusu hii thread yangu,najua kuna roho mbili,moja ya kunipm ingine inasema usipm,hiyo inayosema usipim usikubali,...Mungu ana njia nyingi hebu pm me we can figure out,Mungu hana upendeleo kama morinho,inbox me
 
Nimeokoka baby girl,ila kama we mpagani nipo tayari kuwa mpagani,nakupenda Fanya basi tuwe Alfa na omega
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya haina maproblemaa!
 
Back
Top Bottom