Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Usilitaje bure jina la BWANA Mungu wetu(sic), maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure ( Exodus 20:7)
 
Eh dunia ina mambo, unatafuta mtoto wa mchungaji na askofu jamiiforums?
Nenda kwenye mikutano ya injili utawapata huku unajaza server bwana.
 
Mlokole kamtafute kanisani, utapata mpaka reference kwa mchungaji. Hapa watu watajikoki na kukuingiza kingi buree.
God protect me from my friends i will handle my enemies,....mojawapo ya verse ya lil wayne,,ina mana ni rahisi kudeal na adui kuliko rafiki?
 
Eh dunia ina mambo, unatafuta mtoto wa mchungaji na askofu jamiiforums?
Nenda kwenye mikutano ya injili utawapata huku unajaza server bwana.
challlenge accepted
 
God protect me from my friends i will handle my enemies,....mojawapo ya verse ya lil wayne,,ina mana ni rahisi kudeal na adui kuliko rafiki?
Adui anaweza asijue hata unapoishi wapi.

Rafiki si tu anajua, bali ushamchongea mpaka funguo akitaka aje muda wowote aingie.

Machiavelli katika "The Prince" alisema "keep your friends close and your enemies closer".
 
Hivi unachotaka kusema ni nini hapo?

Kwamba ninayo package au?
 
My ex, 'they become those'
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
try me first
Ukuje pm na pic kabisa... NaogopagA watu nkuone kwanza nkikuogopa bac..[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[HASHTAG]#queendomselection[/HASHTAG]
 
..sasa kwanini usingeenda church Yenu au Ya Jirani unakimbilia social networks Mkuu,haupo serious kabisa naona
 
Adui anaweza asijue hata unapoishi wapi.

Rafiki si tu anajua, bali ushamchongea mpaka funguo akitaka aje muda wowote aingie.

Machiavelli katika "The Prince" alisema "keep your friends close and your enemies closer".
lil wayne alisema God protect me from friends i will take care from my enemies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…