Bwana asifiwe,Namtafuta girl aliyeokoka wa kumwoa!

Hata watoto wa wachungaji wanaacha kutafuta wachumba makanisani wanakuja huku?? Dah
 
Ila haujaweka sifa zako ili tujitokeze kwa vizuri umeangalia tu upande wako? Na Mimi kujitokeza lazima nijiridhishe na sifa zako kama ziko vizuri.
 
Vipi maombi yamekuwaje tena? Maana wachumba wa kilokole hupatikana kwa maombi mkuu !
 
Mbona wapo wengi sana huko makanisani kwenu au hakuna mwenye figa na Chura unalotaka?

Au ni washamba?

Heeh!!!
 
Akipiga kila hatua inaenda na sala kwa bwana matako yasitingishike sana ili asiwape watu majaribu.
Ha ha haaa.....we Jamaa mnoko sana, yaani kila hatua na sala yake?

Hivi Kiranga mkeo lazima awe Atheist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…