Bwana harusi afariki

Bwana harusi afariki

Hua nashangaa sana watu wanaosikitika mtu akifa.... Yani hamtaki nature ifanye kazi yake?? Ujue dunia haiwezi jiendesha bila viumbe kufa na vingine kuzaliwa
Umri wa kufa ni miaka 70 huyo alikuwa ana 69?
 
Hua nashangaa sana watu wanaosikitika mtu akifa.... Yani hamtaki nature ifanye kazi yake?? Ujue dunia haiwezi jiendesha bila viumbe kufa na vingine kuzaliwa
It is true unachokisema. Lakini ile human nature ya kupokea habari za msiba lazima masikitiko yawepo... sio tu kwa binadamu.. hata kwa wanyama.... ni nature na yenyewe pia..kua ikitokea mmoja wao / wetu katangulia, lazma kuwepo na masikitiko na maumivu ya moyo..
 
Ubwana au ubibi harusi huisha pindi tu maharusi wakishaoana au kufunga ndoa. Bibi harusi (bride) hugeuka kuwa mke (wife) na bwana harusi (bridegroom) huwa mume (husband)
U bwana harusi ni sifa anayokuwa nayo mtu muda gani kabla na hata baada ya Harusi yake?

Poleni wafiwa.
 
Back
Top Bottom