Vipi tena anko MangiAisee
Hua nashangaa sana watu wanaosikitika mtu akifa.... Yani hamtaki nature ifanye kazi yake?? Ujue dunia haiwezi jiendesha bila viumbe kufa na vingine kuzaliwaVipi tena anko Mangi
Aiseee!daah hizi heading bana nikadhani majay nikapiga yowee yelewiii lulu ataweka wapi sura yake
kwa nyongeza bwana harusi ni yule anayeoa mke akiwa bikiraanaitwaje bwana harusi April 2021 wakati harusi ilifungwa december 2020???
Umri wa kufa ni miaka 70 huyo alikuwa ana 69?Hua nashangaa sana watu wanaosikitika mtu akifa.... Yani hamtaki nature ifanye kazi yake?? Ujue dunia haiwezi jiendesha bila viumbe kufa na vingine kuzaliwa
It is true unachokisema. Lakini ile human nature ya kupokea habari za msiba lazima masikitiko yawepo... sio tu kwa binadamu.. hata kwa wanyama.... ni nature na yenyewe pia..kua ikitokea mmoja wao / wetu katangulia, lazma kuwepo na masikitiko na maumivu ya moyo..Hua nashangaa sana watu wanaosikitika mtu akifa.... Yani hamtaki nature ifanye kazi yake?? Ujue dunia haiwezi jiendesha bila viumbe kufa na vingine kuzaliwa
Sio bwana harusi sema mme wa mtu kafariki
U bwana harusi ni sifa anayokuwa nayo mtu muda gani kabla na hata baada ya Harusi yake?
Poleni wafiwa.
Sasa hawa Ndoa wamefunga mwaka Jana, mpaka Leo bado wanamwita mwenzao Bwana Harusi!Ubwana au ubibi harusi huisha pindi tu maharusi wakishaoana au kufunga ndoa. Bibi harusi (bride) hugeuka kuwa mke (wife) na bwana harusi (bridegroom) huwa mume (husband)
Sasa hawa Ndoa wamefunga mwaka Jana, mpaka Leo bado wanamwita mwenzao Bwana Harusi!
Loh! Jamani habari ya huzuni lkn unanichekesha SasaAnamfaamu wapi Basi tu mihemko
[emoji23][emoji23]Anamfaamu wapi Basi tu mihemko
anaitwaje bwana harusi April 2021 wakati harusi ilifungwa december 2020???
Sana yaaniHuyo mjane anatakiwa apate faraja haraka sana ili asipate msongo wa mawazo
Warumi hebu tuletee umbea bna.nini kimetokea kwani??Wanamtafutia umaarufu