Sikuwa najua kuwa jamaa ameenda shule vizuri hivi. I just thought ni mtu wa kawaida tu. Hongera sana kamanda
Baraza la mawakili (The Legal Education Council of Tanzania)lililoketi mwanzoni mwa wiki hii jijini Arusha ili kumtahini Bwana James Millya,Amefaulu na hivyo kuanzia sasa atajulikana kama Wakili/Advocate James Ole Millya,ambaye ni wakili wa kujitegemea.
Tunampa pongezi nyingi,na tunamtakia kila la heri katika kutetea haki nchini mwetu Tanzania.Hongera wakili Millya.
Jemsi amenda shule hajakimbia shule kama vilazi wa ccm akina lusinde maji marefu nk wa magamba ambao wamekimbia shule chadema inazidi kuwa na mawakili na wasomi wengi tutarajie kuongozwa na wasomi na watakao keti chini kujadili mstakabali wa nchi yetu vizuri ongera Jemsi ongera chadema ongera Tanzania kuongeza wasomi
Sasa hii ni jamvi la siasa ama ni la legal ama politics wht if angekua cuf ama ccm ingekuaje mungempongeza kiasi hiki think great thinkers